Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Tunashukuru kwa taarifa!
''Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi'' Wakorintho 1-6
unanyegesha tu watu na hilo ndo lengo
lako
watu wakiwa free wanafanya mambo! pia watu wanaweza! serikali lazima itoe fursa sawa kwa wote!Huu sio uongo mkuu, nashangaa watu wanasema hii ni stori, hii ni true stori inanitokea
Sio ndefu kivile, hata hivo nimehitimisha
Tunashukuru kwa taarifa!
how can you trutyfy it to me
Hapa tunatumia avatar, fake names ili kuzuia vitu kama hivyo visitokee
Mi sio mzinzi, ila shetani ndo amenipitia
Ila hujatoa ushauri
kwa hiyo na ndevu zetu zooote umeamua utudanganye ??
Usisahau tu kuchimba kaburi lako likawa standbyHuu sio uongo mkuu, nashangaa watu wanasema hii ni stori, hii ni true stori inanitokea
Kunywa ile dawa ya kimasai ili uongeze nguvu. Hivi OLESAIDIMU ile inaitwa kiloriti ama?