Nimetembea na mama na binti yake

Nimetembea na mama na binti yake

Wana JF hii kitu inaniumiza hasa kuna maneno nikisoma humu ndani, najisikia vibaya. Nampenda 'binti mkubwa' nahofia siku akijua atanichukuliaje, nawaza sana kama ataendelea hata kuongea na mimi, au nitamwambia kitu gani anielewe. Kiukweli nikiwa naye nikimwangalia usoni naumia sana nalazimisha kuwa kawaida mpaka kuna mda ananiuliza nina tatizo gani, namwambia hamna. Hadi chozi huwa linanilenga naamua kuzuga tu.

Mpenzi wangu nampenda sana, tunaongea kila siku kwenye cm, na ananitafuta kuliko hata mimi ninavyomtafuta. hajawahi kunifanyia chochote kibaya cha kulinganishia, kwa ninavyomjua siku akifaham ndio itakuwa mwisho wetu. Yupo mbali lakini naweza kuhisi mapenz yake kwangu kila tukiongea naye. Yan naweza kuwa huku nilipo na nikasema kwa ujasiri kuwa nina mpenzi.

Kubadilisha line, haitasaidia namba zote zipo kichwani.

Nikipotea kwenye ramani zao, nahisi nitaandamwa na mawazo na maradhi ya mawazo. Nikiwaambia, naogopa kuwapoteza. Nlivyokaa kimya bila kusema kitu ndo mawazo ya itakuwaje yananiandama usiku na mchana. Nawaza kama kuna siku haya mawazo yataisha na mimi kuwa huru bila kuwapoteza watu muhim kwenye maisha yangu.

Mwanzoni nilivyokusoma niliona chembe za sifa hivi, kumbe unaumia mkuu, pole sana. Hayo mawazo ukiyachukulia poa yatakuletea matatizo. Mpige chini 'bi mkubwa' haraka iwezekanavyo. Hao wawili endelea kuwachunguza utambue nani nafaa. M-block 'bi mkubwa' kwenye simu yako. Hama mtaa, halafu usiwaze sana taratibu utarudi kwenye hali ya kawaida
 
Wana JF hii kitu inaniumiza hasa kuna maneno nikisoma humu ndani, najisikia vibaya. Nampenda 'binti mkubwa' nahofia siku akijua atanichukuliaje, nawaza sana kama ataendelea hata kuongea na mimi, au nitamwambia kitu gani anielewe. Kiukweli nikiwa naye nikimwangalia usoni naumia sana nalazimisha kuwa kawaida mpaka kuna mda ananiuliza nina tatizo gani, namwambia hamna. Hadi chozi huwa linanilenga naamua kuzuga tu.

Mpenzi wangu nampenda sana, tunaongea kila siku kwenye cm, na ananitafuta kuliko hata mimi ninavyomtafuta. hajawahi kunifanyia chochote kibaya cha kulinganishia, kwa ninavyomjua siku akifaham ndio itakuwa mwisho wetu. Yupo mbali lakini naweza kuhisi mapenz yake kwangu kila tukiongea naye. Yan naweza kuwa huku nilipo na nikasema kwa ujasiri kuwa nina mpenzi.

Kubadilisha line, haitasaidia namba zote zipo kichwani.

Nikipotea kwenye ramani zao, nahisi nitaandamwa na mawazo na maradhi ya mawazo. Nikiwaambia, naogopa kuwapoteza. Nlivyokaa kimya bila kusema kitu ndo mawazo ya itakuwaje yananiandama usiku na mchana. Nawaza kama kuna siku haya mawazo yataisha na mimi kuwa huru bila kuwapoteza watu muhim kwenye maisha yangu.

Pole sana. Kila kitu umesababisha mwenyewe. Amua uwe na mmoja unaempenda kuliko wote.
 
Una hatari wewe, kwahiyo bado unaendelea unajisevia kwa bi mkubwa? Mbona yeye hujamtaja.
 
nakwanini unasema ukiachana nao utaumia
inaonekana wewe wale vijana ambao wanapenda kuhongwa na wanawake! kwanza awali ya yote unafanya kazi?
 
Najitegemea, mpenz wangu anajitegemea, Biniti mkubwa yupo chuo, Bi mkubwa anajitegemea
 
You may not be their LAST,their FIRST,or their ONLY, They loved before they may love again
IF they love you now what else matters!!!!!!!!!
 
dah hii ni fantasy yangu.....kula mama na mtoto......nishafanikiwa kula mtoto na mama mdogo......bado naendelea kusaka kuku na yai lake....
 
Naona unaendelea kutoa msisitizo wa uongo wako.Hivi unadhan kupiga mama na mtoto wake tena majirani zako ni kazi ndogo??
We vp, mi najua jamaa mmoja alikula mama na watoto wake wanne! Achilia mbali mmoja
 
stori kama hizi nii baab kubwa sana aiseee....si upate tukio jingine ulete story nyingine aisee....hee
 
Wee jamaa ni muongo sio utani,kwani hadithi hii kakufundisha nani mpaka uje kudanganya ma great thinker?
 
Eeeh ndiwoooo. Wakimshindwa aongeze na hausigelo. Wakiisha nyumba nzima ahamie kwa baba mwenye nyumba. Yeye si kijogoo? :msela::msela:
King'asti amesema alimpiga mama 10 na mtoto 6 bado unataka aongeze nguvu si atawaua sasa kwa kupiga 20 na mtoto 12 ha ha hawa vijana na story zao za vijiweni wanaleta JF
 
Back
Top Bottom