Nimetembea na mama na binti yake

Nimetembea na mama na binti yake

Kuna mtu alinuliza kuhusu picha, itakuwa sio jambo la busara kwa sababu wanaweza kuwa wapo hapa JF, lakini pia mimi mwenyewe nipo kwenye picha, kumbuka hamna hata mtu mmoja alieweka picha yake hapa Jf.

Mkuu, let us make an assumption kua hii habari ni kweli, sasa swali linakuja hivi, Kwa ufahamu wako wote hukuwaza kua uyo binti mkubwa, uyo gf wako na uyo mama wanaweza nao kua ni member hapa MMU???Yani iyo Avatar fake imekulaghai sana ukasahau kuna kuunga dot dot za story na mazingira ya hiyo family, ama ujui kua watu uweza kuunga dot dot za matukio ya story yako na kujijua wao ni wahanga??Think Big bana, be matured ulistahili ubaki na hii ishu yako mwenyewe , maana si ya kujenga kiivile, ungejikausha nayo tu moyoni.

What goes around comes around, at your 50's yaweza kuja tokea mwanao na mkeo wakaliwa, kwa hiki ulichokifanya leo!
Swala la watu kuweka picha zao ume conclude vibaya huwezi sema hakuna HATA MMOJA aliyeweka picha yake, wapo wengi tu labda hujui kua ni wao halisi ktk hizo avatar sababu hamjuani, mfano mdogo Iyo kwenye Avatar yangu ni picha yangu, sasa wapo waliojiachia na picha full
 
Nipe namba ya Huyo Binti....haiwezekani huwe na ngozi Tatu zote
 
Mkuu, let us make an assumption kua hii habari ni kweli, sasa swali linakuja hivi, Kwa ufahamu wako wote hukuwaza kua uyo binti mkubwa, uyo gf wako na uyo mama wanaweza nao kua ni member hapa MMU???
Hamna sehemu ambayo nimesema maneno yanayoashiria kuwa sikuwaza kuwa wapo hapa MMU
Avatar fake imekulaghai sana
You have insufficient information to make that statement
ukasahau kuna kuunga dot dot za story na mazingira ya hiyo family, ama ujui kua watu uweza kuunga dot dot za matukio ya story yako na kujijua wao ni wahanga??
Nikikuelewa, wanaotakiwa kuunganisha dots ni wahusika. Wahusika hawajuani, wataunganishaje dots?
Think Big bana, be matured
What type of maturity are you talking about? is it physical maturity, social maturity, emotional maturity, cognitive or intellectual maturity, the more open you are, the more I can understand you.
ulistahili ubaki na hii ishu yako mwenyewe , maana si ya kujenga kiivile, ungejikausha nayo tu moyoni.
Unahitaji kujua watu wanatofautiana, jambo ambalo unakaa nalo kimya, mwenzio anaweza kulizungumzia. Ulivyoongelea 'kujenga' inaonekana haijakujenga kwa sababu nimelizungumzia, ina maana wewe 'unajengwa' na mikasa isiyozungumziwa which is surprising.
What goes around comes around, at your 50's yaweza kuja tokea mwanao na mkeo wakaliwa, kwa hiki ulichokifanya leo!
Uwezekano unaweza kutokea au usitokee. Siamini kwenye utabiri wa binadamu mwenzangu kuhusu yatakayonitokea.
Swala la watu kuweka picha zao ume conclude vibaya huwezi sema hakuna HATA MMOJA aliyeweka picha yake, wapo wengi tu labda hujui kua ni wao halisi ktk hizo avatar sababu hamjuani, mfano mdogo Iyo kwenye Avatar yangu ni picha yangu, sasa wapo waliojiachia na picha full
Can you prove to me 'beyond reasonable doubt' kwamba hiyo picha kwenye Avatar yako ni wewe mwenyewe?. Nevertheless, we have people using their real names in their ID, you are not one of them.
 
Jitahidi ukapime HIV hiyo ndio ushauri wanguuu kabisaa. Maana ngono haisifiwi na sio sifaa..Nyokoooo kabisaa

Nimechukua ushauri wako, ila tusi lako sijalichukua baki nalo mwenyewe.
 
Hamna sehemu ambayo nimesema maneno yanayoashiria kuwa sikuwaza kuwa wapo hapa MMU
You have insufficient information to make that statement

Nikikuelewa, wanaotakiwa kuunganisha dots ni wahusika. Wahusika hawajuani, wataunganishaje dots?

Can you prove to me 'beyond reasonable doubt' kwamba hiyo picha kwenye Avatar yako ni wewe mwenyewe?. Nevertheless, we have people using their real names in their ID, you are not one of them.

Maelezo yako yanaonesha ni kiasi gani mgumu kuelewa!!Kama still unadhani kuunga dot hadi watu wajuane basi kuna kazi sana, Now nimefahamu kwanini ukumuelewa binti mmoja uko juu mpaka akaamua kukuaga kwa kusema walimu wana kazi sana tho still ukaendelea kutomuelewa ktk hiyo statement yake ya kukuagia!....mbaya zaidi unajikosoa maelezo yako mwenyewe. Kama bado unaamini, from this imbecile story ume produce something constructive in your society then you are not grown up buddy, age bado inakuruhusu. Ukishakua utaacha ujinga huu.

Very amazing!!Someone who slept with a married woman and her daughter, is trying to justify his deeds to be a learning platform in a society.
Byeeee!
 
Maelezo yako yanaonesha ni kiasi gani mgumu kuelewa!
Ukishindwa kuelewa you ask in a socratic fashion, na sio kuongea jumlajumla
!Kama still unadhani kuunga dot hadi watu wajuane basi kuna kazi sana,
You argued already kwamba wahusika wanaweza kujua kuwa wanaongelewa hapa JF, mbona you are restricting your focus, think about this, wewe ukiunganisha dots halafu huwafahamu wahusika will there be any exposure on my side?
Now nimefahamu kwanini ukumuelewa binti mmoja uko juu mpaka akaamua kukuaga kwa kusema walimu wana kazi sana tho still ukaendelea kutomuelewa ktk hiyo statement yake ya kukuagia!
We umejuaje ni binti? Unaweza kuthibitisha hilo? Anaweza kuwa mama, bibi, babu, baba, mtoto, kijana n.k anatumia fake ID kama wewe.....
mbaya zaidi unajikosoa maelezo yako mwenyewe
Kama huwezi kueleza 'ninapojikosoa maelezo yangu' hizo ni empty words
Kama bado unaamini, from this imbecile story ume produce something constructive in your society then you are not grown up buddy, age bado inakuruhusu. Ukishakua utaacha ujinga huu.
I suggest you continue being a philomath and not feigning to be polymath, there is a stupendous hiatus in your statements.

Very amazing!!Someone who slept with a married woman and her daughter, is trying to justify his deeds to be a learning platform in a society.
Byeeee!
There are circumstances for everything we do, some we can easily deal with, some we can hardly deal with.
 
Hivi mkoa wa mwanza hauna mtandao
uliounganishwa na jf?
Na je huyo mdada wa chuo naye hajui kitu inaitwa jf?
Nahisi utashtukiwa na wote,jiandae kuleta huyo house girl.
 
Wewe huhitaji ushauri ila kuchapwa viboko
kama kuna mtu anakufahamu atusaidie hilo.
umekuwa mbuzi mpaka unatembea na mtu na mama yake?
Ili kuondoa laana tafuta mtu,umwombe akupige viboko.
 
Back
Top Bottom