zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 542
Ushauri upi unaoutaka? Ubora na ubaya wa kila mmoja unao wewe, ukijiongopea unajiongopea mwenyewe. Ulipoamua kutembea nao hukuomba ushauri. We endelee
Nimeshasoma hadithi za watoto hapa JF... nyingine huwa zina mantiki. Ila huyu mtoto wa leo kavunja rekodi. Hadithi imejaa uongo mwanzo mwisho.
Kwa sisi wazoefu huyu dogo anataka mabinti wa JF wamPM ili wajaribu bahati yao ya kukojolewa vijiko kumi.
Biashara matangazo lakini haya sasa si matangazo.... Promo la kitotò.
cc Hornet.... ole wako
Honey Faith kwa taarifa
Apologise lady kwa kumbukumbu
Mmmh!!!!! Asprin umeanzaje kusoma hadithi za watoto ambao wapo kwenye barehe????? mimi siitaki hata kakika kumbukumbu hadithi ya tutoto tukiwa vijiweni. siku nyingine usisome tena hizi hadithi, sawa mme wa ujana wangu?.
Najaribu kukutafakari... ila kila jibu nalotaka kukupa naona halifai... ila wewe ni mpumbavu... kuna namna hauko sawa
Maaninnn
Unaweza kuthibitisha hilo? au una lengo la kuwafahamisha watu humu JF kuna unajua kutukana. Tumia burasa na akili zako mkuu, unaweza kuchangia bila matusi.
Neno lako ni amri kwangu.... Niko radhi kukosa neno lakini si mke wa ujana wangu....Mmmh!!!!! Asprin umeanzaje kusoma hadithi za watoto ambao wapo kwenye barehe????? mimi siitaki hata kakika kumbukumbu hadithi ya tutoto tukiwa vijiweni. siku nyingine usisome tena hizi hadithi, sawa mme wa ujana wangu?.
Neno lako ni amri kwangu.... Niko radhi kukosa neno lakini si mke wa ujana wangu....
Rafiki yako anahisi ni hadithi, but nimemwambia huu ni mkasa wa kweli, wala sio ishu ya utoto kama alivyokumezesha. Utoto na bahele tushaacha mda, sawa mdada?
Tobaaaaaaaaaaaa!!!!!1 Asprin kuja huku, mwenye kesi kakanusha kasema yeye ni mkubwa na ni ukweli ila hajaweka ushahidi wa picha zake na hao wake wenza mtu na mamaye.
Kuna mtu alinuliza kuhusu picha, itakuwa sio jambo la busara kwa sababu wanaweza kuwa wapo hapa JF, lakini pia mimi mwenyewe nipo kwenye picha, kumbuka hamna hata mtu mmoja alieweka picha yake hapa Jf.
Basi vunja hiyo rekodi, wewe weka.
pumbaf.