Nimetapeliwa Sinza

Ahsante Mrigariga
 
Rich pol!ahsante sana mkuu
 
Hivi dar mitaa gani unaweza kujenga hata chumba kwa million 6 bado hapo hujanunua kiwanja!

Tatizo mnang'ang'ania Dar ktkt tu. ujana acheni, nendeni pembeni ya mji, mil 6 unafanya kitu cha maana tu hata kama hujengi nyumba nzima. Mnapenda kubanana Sinza wote, shauri yenu
 
Anza na huyo dalali ulowasiliana nae kwa mara ya kwanza pia na fred. Ukishawapata wasweke ndani hadi wakuletee mtu ulomkabidhi pesa.

Hapa ndo huwa sishangai kwanini watu wanakuwa serial killers.
 
Mkuu Rich pol labda kwa kumsaidia HEKAYA na watu wengine walio na shida kama yake, huo utaratibu wa kwenda kwenye mitandao ya simu inagharimu shillings ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Dalili ya kwanza kujua unatapeliwa ni kukataa bank transaction. Ukiona
 
Mkuu Rich pol labda kwa kumsaidia HEKAYA na watu wengine walio na shida kama yake, huo utaratibu wa kwenda kwenye mitandao ya simu inagharimu shillings ngapi?

Sure mkuu!Inaweza ikagharimu kiasi gan?
 
Last edited by a moderator:
Dalili ya kwanza kujua unatapeliwa ni kukataa bank transaction. Ukiona
Tajiri hataki pesa umuwekee bank kimbia.
Dalili ya pili. Wanatengeneza mazingira ya kuonyesha uhitaji wa hiyo pesa haraka sana. Hii ni kuogopa issue kabla haijabumbuluka wawe wameshakutengeneza tayari na wametawanyika.
Kawaida muhitaji ndiye anapashwa kuwa na haraka na si mwenye nyumba. Ukiona mwenye nyumba anakuharakisha. We mwambie nipe account yako ya bank utamuona atakavyoruka. Kimbia sana.
 
Mkuu Rich pol labda kwa kumsaidia HEKAYA na watu wengine walio na shida kama yake, huo utaratibu wa kwenda kwenye mitandao ya simu inagharimu shillings ngapi?

Ukienda kama wewe watakula laki, jamaa anakuwa anakupigia simu kukupa position ya jamaa alipo, lakini akienda polisi kikazi anapewa bure! Ila siku hizi kuna mtego wa kumkamata mhalifu, anatumiwa Hele nyingi ktk simu yake ambayo hawezi kutoa mpaka kwa wakala mkubwa, wanaangalia na eneo alipo na wakala mkubwa Yuko wapi karibu yake! Ataingia tamaa kuona zimeingia kwake ki makosa, akitaka kuhamisha mtandao unakuwa busy, akienda kwa wakala, transfer za hivyo wanazijua, ata delay mpaka mnamkamata.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mkuu
 
Hela alipokea naomba nitafute nikupeleke Sumbawanga ili awekewe dawa ya kunya noti pila kukoma. anacheza na pesa ya mtu eti.
 
Ni sahihi kabisa mkuu ndio yaliyonikuta pale Sinza kwa Remmy
 
Thanks;Noted.
 
i love this!
 
Tatizo mnang'ang'ania Dar ktkt tu. ujana acheni, nendeni pembeni ya mji, mil 6 unafanya kitu cha maana tu hata kama hujengi nyumba nzima. Mnapenda kubanana Sinza wote, shauri yenu

Wasemaje????????????????
 
Jf mnadhambi

huyu ni baba wa watoto watatu

pili amekopa jua kuna riba

tatu msaidien

nne ongeza sala usimtegemee sana binadamu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…