Chongoe nazi moja mafia bei gani kwa sasa na gharama mpk hapo kisiju pwani bei gani kwa nazi moja au nyie kwenye majahazi yenu munasafirishaje nazi kwa gunia au moja moja!
Kwakuwa ni coromaau biashara mbaya ndo akae kimya na asipokee simu?Mkuu Nazi au Koroma?sijui korona.Yeye hajakufanyia chochote Kibaya wala usitake kumfanya ajisikie hofu kwa kumtisha tisha kwamba utamfanya kitu kibaya.Cha kufanya wewe Leta Nazi nyingine Mia tano mpe mtu mwingine kama vile mimi then nitaangalia namna ya kukupooza.Biashara sio rahisi hivo,zingekuwa rahisi hivo kila mtu angefanya.Mzee
Hii Kitu ni mbaya sana.Duu! Pole sana mkuu, jamani tuweni na shukurani kwa watu wanaotuwezesha kupata kipato, yaani jamaa kakuamini na kukupa mzigo bila hata sent ya mtaji, ukiuza ukakata chako unapungukiwa nini? Huyo jamaa tapeli ninaamini lazima walifanya mawasiliano ya kina mshikaji na akamuhakikishia soko lipo, sasa huko kutokomea na mzigo kunatoka wapi! Vya dhuluma huwa havizai!
Kwahyo wewe hvo vnaz nimechukua vichache tu ety! wataka niloga!! Alaf zilkua`320 sio 500 !!Mimi nimewahi kuleta uzi hapa kuhusu ya kwamba natafuta mtu ambae atakuwa tunafanya biashara ya nazi.
Kweli nilipata mtu amenambia yupo sokoni Ilala ila sina hakika; mara ya kwanza nilimpekea nazi kwakuwa mimi mwenyewe nahodha kwenye jahazi nikachukua nazi Mafia zilikuwa mia tano, nikafikisha mpaka Kisiju nikapakia kwenye gari nikamuelekeza azifaute Mbagala.
Kweli jamaa kafuatilia akazipata nazi, sasa tokea alipozipokea, jamaa nikipiga hapokei simu.
Mimi nilifanya kwa imani tu, sasa jamaa kaamua kudhulumu.
Sina muda wa kumfatilia kwa sababu kazi zangu kutwa nipo baharini ila huyu jamaa najua yupo hum. Namwambia nitachomfanya, labda mimi sio kwetu Mafia atajuta.
Mwisho: Jamani tuwe makini