Nimetapeliwa na mdada wa TPDF, ushauri wenu tafadhari

Nimetapeliwa na mdada wa TPDF, ushauri wenu tafadhari

Joined
May 8, 2014
Posts
68
Reaction score
5
kuna ndug yake wa karibu ameahidi kushughulikia suala hili la huyu dada, nawashukuru kwa ushauri wenu wenye kujenga, asanteni
 
Wewe Hebu grow up...laki mbili ndo zinakupa stress hivyo? Kadri utakavyoishi utakuja kutapeliwa vikubwa kuliko hivyo. Jifunze kusamehe now
 
dada huyu anaitwa tiba abdallah ni askari jw, makao makuu jkt, nimaliza nae form four 2008 nyanduga sec,mwaka jana alinipigia cmu kuwa kuna nafac za jw zimetoka nimtumie pesa na vyeti kwenye email,nikamtumia, hadi leo hii cmu hapokei sms hajibu nikipiga namba mpya akickia sauti yangu anakata facebook ameniblock, nifanye ndugu zangu nimloge,nifatilie makao makuu ya jeshi maana uthibitisho wa sms za m pesa upo,npo mkoani nifunge safari nikafatilie dar?,tafadhari watanzania nishaurini nimfanyeje mtu huyu, inaniuma kutapeliwa na mmtu ninaemfahamu na pesa yangu ni zaidi ya laki mbili wapendwa?
Aliyekwambia kazi za jeshi zinanunuliwa nani?
 
Tulia kijana iyo pesa ndogo sanaa
Watu tumetapeliwa zaidi ya apo
So forget about past
 
usijaribu kuja huku utatiwa ndani kwani umeshiriki rushwa cha kufanya andika barua kwa katibu mkuu wizara ya ulinzi andika malalamiko kuwa huyo dada anachukua hela za watu mitaani na kuwa ahidi atawatatutia nafasi jeshini chini ya barua andika nakala kwa vyombo vya habari hutapata hela yako ila utamuharibia kazi dawa ya moto
 
Daaa ilikua siri sahv unaianika nje. Noma sana huyo mdda anajua siri ni nini katulia kimyaaa… pole lakin uchumi mgumu
 
Nakushauri usamehe 7*70 ila kwa kuwa umetoa machaguo yani umloge au kufatilia makao makuu ya jesh hi ni kama ume2limit,na kichwani mwako ndo yaliyopo basi mloge maana nahisi kwako cost za kumloga ni ndogo kuliko za kufatilia hadi huku makao makuu ndo maana hujafatilia hadi xaxa kwa sababu ya hela. Bt mm siamini ktk mambo hayo ila najua ypo ninajaribu kujibu kutokana na uzi wco!
 
si ulimpa mwenyewe ila ndo biashara jkt hufanyika kama baba hayupo kwa vitengo vikubwa kuna wengi nawajua wameingizwa kwa njia hyo
 
Lol. Yaani gharama za kusafiri hadi dsm, na kushuttle tu zitazidi hiyo laki mbili.

anauza ng'ombe ili ashinde kesi ya kuibiwa kuku. Mpare wa hedi!
laki mbili ufunge safari? wewe ni mpare?
 
usijaribu kuja huku utatiwa ndani kwani umeshiriki rushwa cha kufanya andika barua kwa katibu mkuu wizara ya ulinzi andika malalamiko kuwa huyo dada anachukua hela za watu mitaani na kuwa ahidi atawatatutia nafasi jeshini chini ya barua andika nakala kwa vyombo vya habari hutapata hela yako ila utamuharibia kazi dawa ya moto

hapo umenena
 
Back
Top Bottom