Nimetapeliwa na mdada wa TPDF, ushauri wenu tafadhari

Nimetapeliwa na mdada wa TPDF, ushauri wenu tafadhari

Aliyekwambia kazi za jeshi zinanunuliwa nani?

askari ndo tapeli bro? Nimeishi sehemu mbalimbali najua utapeli huo upo lakini si kwa mtu ninaemfahamu maana hii ishu nimewashirikisha familia,kwakuwa mzee anamfahamu sasa ndo imeleta utata mm ndo nimeonekana kama nimewazunguka
 
dada huyu anaitwa tiba abdallah ni askari jw, makao makuu jkt, nimaliza nae form four 2008 nyanduga sec,mwaka jana alinipigia cmu kuwa kuna nafac za jw zimetoka nimtumie pesa na vyeti kwenye email,nikamtumia, hadi leo hii cmu hapokei sms hajibu nikipiga namba mpya akickia sauti yangu anakata facebook ameniblock, nifanye ndugu zangu nimloge,nifatilie makao makuu ya jeshi maana uthibitisho wa sms za m pesa upo,npo mkoani nifunge safari nikafatilie dar?,tafadhari watanzania nishaurini nimfanyeje mtu huyu, inaniuma kutapeliwa na mmtu ninaemfahamu na pesa yangu ni zaidi ya laki mbili wapendwa?

Mimi nakushauri kwa upande wa kuku block facebook.Fungua akaunti nyingine ya facebook kisha mtafute na umfikishie ujumbe wako.
 
shukrani ndugu kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi, huyu dada ataishia kubaya, kaajiriwa mwaka jana lakini amekuwa tapeli balaa
 
kunamijitu humu sijui ni ulimbukeni. eti helandogo helandogo. zitoebasi umrudishie. watu wanauwana kwa shilingi mia sembuse laki mbili.nyamafu
 
Mimi nakushauri kwa upande wa kuku block facebook.Fungua akaunti nyingine ya facebook kisha mtafute na umfikishie ujumbe wako.
hata cmu hajabadili namba huwezi amini hata sms hajibu, cjui ni dharau au ndo kujiona kuwa yuko juu ya sheria? Mara ya mwisho nilimtumia sms naiguliwa anipe hata nusu lakini alikaa kimya
 
Sipendi kukukatisha tamaa ila hard truth has to be said. Mnapenda njia ya mkato sana nyie vijana ndo maana mnayafanya hayo.

Kwa hali ilivyo, jiandaeni kuendelea kuibiwa. One more thing, laki mbili ufunge safari?

Wajinga ndio waliwao!
 
we umuhiri marato unasemaje wewe? yaani uende TPDF HQ kushitaki? afu ukifika getini utamuambeaje mjeda àliyopo getini? kwamba umeenda kumshitaki mjeda mwenzao amekutapeli? hebu nenda wakakutoe ushamba kidogo manake kwa ushamba huo inawezekana hata suala la huyo mate wako nae kuwa mjeda inawezekana nalo ni changa! mjini hapa watu hatuamin uniform wala ID! Ukipiga deal na mtu anayekuambia anapiga mzigo TRA, wala hatufanyi hivyo kv tumeona ID yake au Tshirt ya TRA aliyovaa!
 
Last edited by a moderator:
shukrani ndugu kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi, huyu dada ataishia kubaya, kaajiriwa mwaka jana lakini amekuwa tapeli balaa
mshukuru, amekufundisha ujanja manake amekuibia laki 2 tu, nafuu manake kama c dada Tiba aliyekutibu, cku angekuja mshikaj wa BOT na kukuambia kuna kazi ila ulipe milioni mbili--kwa staili hii, ungeuza hadi mashamba!
 
ndg laki mbili kwangu mm ni pesa kubwa kwa biashara, pili inauma kutapeliwa kwa mtu ambaye tumeishi kama ndg na familia moja
shituka wewe--staili hiyo ya utapeli lazima ufanyiwe na mtu unayemfahamu na kumuamini! there's no way mtu umekutana nae barabarani halafu akuambie umpe laki mbili ili akupe kazi!
 
dah? Mwache yani anakaz anakutapel m2 amby huna kaz? Ameshalaanika.
 
Ajira ya jeshi kwa laki 2?
Mimi ningechukua ndugu zangu 10 niwalipie milion 2 kwa pamoja,
halafu wakianza kupata mishahara mkataba kila mmoja ananipa laki 1 kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.
Piga hesabu
100,000 mara 10 mara mwaka=12,000,000/= cash bila jasho.
 
ukihukumu utahukumiwa ww cha kufanya potezea muombe mungu akufungulie milango.Kumloga ni ushirikina na hiyo hela ni ndogo sana ndio maana hukupata nafasi tafuta kama m2 hivi nafikiri anaweza fanya kitu huyo dada.
 
kunamijitu humu sijui ni ulimbukeni. eti helandogo helandogo. zitoebasi umrudishie. watu wanauwana kwa shilingi mia sembuse laki mbili.nyamafu

Unajua atatumia nauli kiasi gani kuifatilia hiyo laki 2? Au lopolopo tu
 
dada huyu anaitwa Tiba Abdallah ni askari JW, makao makuu JKT, nimaliza nae form four 2008 Nyanduga sec,mwaka jana alinipigia cmu kuwa kuna nafac za jw zimetoka nimtumie pesa na vyeti kwenye email,nikamtumia, hadi leo hii cmu hapokei sms hajibu nikipiga namba mpya akickia sauti yangu anakata facebook ameniblock, nifanye ndugu zangu nimloge,

Nifatilie makao makuu ya jeshi maana uthibitisho wa sms za m pesa upo,npo mkoani nifunge safari nikafatilie dar?,tafadhari watanzania nishaurini nimfanyeje mtu huyu, inaniuma kutapeliwa na mmtu ninaemfahamu na pesa yangu ni zaidi ya laki mbili wapendwa?

Ulitoa Hyo Laki2 Ya Nin Km Crushwa?Ngja Npige Cm Takukuru.
 
Back
Top Bottom