Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Sina MDA wa kuandika thread y kusingiziwa Nina Mambo chungunzima ya kufanya na si kudeal na wapumbavu ambao hawanisaidii lolote ktk maisha ...Fikilia MTU ameamua kukuchafua acha akuchafue maana wakat wa Mungu kumuumbua si mbali na Nina uhakika kabisa sjatapel ndiomana sipapaliki na thread za kujitetea
Rudisha pesa yangu,tapeli mkubwa ww!
 
Tulishindwana sehemu moja tu YEYE alitaka mapenzi tu Yani nilale nae kwa usiku mmoja akasema nitakupa fedha elfu 50 ukija tufilane nikamtukana nikamwambia mm sio sifiran na istoshe naitaji mume sio SIJIUZI najieshimu Sasa nazan alichokasilik ni mm kumblock baada y kunijibu shombo nilivyomwambia sifirani akanitext kawaida akaniambia kumbe hunijui nitakuchafua subili uone nikamwambia go on. Then nikablock na sms za kawaida
Nafikil ndio ivyooo kaamua aediti kijan mwenyew ukwel Hana hata uwezo wa elfu 50
Nilichojifunza ndani ya hii stori ni kwamba binadamu (ke) wanaroho mbaya sana.
Huyo huyo anaenisingizia nataka kumchachua tgo yake bado ananitafuta na kuniomba omba pesa!
Wacha mvua inyeshe tujue panapovuja!
Oneni jmn anatia huruma sana!
Screenshot_20221120-155207.jpg
 
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!

Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.

Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.

Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii
Na ww kama sio maku umeshindwa nin kumtag hapa ili tupunguze hii tabia ya utapeli
 
Nilichojifunza ndani ya hii stori ni kwamba binadamu (ke) wanaroho mbaya sana.
Huyo huyo anaenisingizia nataka kumchachua tgo yake bado ananitafuta na kuniomba omba pesa!
Wacha mvua inyeshe tujue panapovuja!
Oneni jmn anatia huruma sana!View attachment 2422200
Sawa,vizuri ila nimehisi kuna MTU mnashirikiana kumchafua huyu Dada.Kama ni kweli basi acheni kudhalilishana.....jifunzeni kwa waliokufa,tunapita jamani...daa
 
Afu ana majibu ya matusi sana,daa wanaume wamebaki wachache sana
ukiona mwanaume anatukana hovyo hovyo amini yuko frustrated na maisha Hana hela. wanawake huko mtaani hawamtaki. sasa shangaa anatafta mwanamke mtandaoni huoni kuna shida hapo? sijawahi kuona mwanaume aliyeko stable finacial akitukana watu asio wajua.
 
Back
Top Bottom