Kama nakusingizia hio namba ni ya nani?
Je unaitambua au huitambui???
Acha tamaa za kijinga binti,shida (njaa) haziishi!
So uliomba nikutumie pesa ilihali ukijua huwezi kuja kuitumikia (kutoa mbususu) kama unavodai tulikubaliana kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu?
Ulichokua unataka ni pesa yangu tu na sio kuja kutoa mbunye kama yalivokua makubaliano yetu?
Huoni kama umekiuka makubaliano yetu tuliopanga? Huoni kama huo ni utapeli na wizi wa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu?
Nakushauri wacha hii tabia mara moja,usirudie tena kwa mtu mwengine.
Ww ndo mwenye akili za kitoto na unafeki maisha so ulitegemea ningenyamaza ili uendelee kutapeli watu wengine humu?
Na kama ulikua na shida ya pesa si ungeniomba tu kistaarabu,nione kama naweza kukusaidia ama laah!
View attachment 2416955