Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Mkuu silagi tope!
Ukisoma vzur hapo kuna mbaba mwengine wa Kimara nae katuma alufu 7 sa cjajua kati yangu na huyo mbaba nani aliomba tope,labda aje awaambie vzur



Nautafuta uzi mwingine ambao bidada ameanzisha akisema amezingiziwa.. hafu napima nijue wapi ukwel wapi uwongo..Rafiki, jamaa yenu kaumbuka![]()
Ukiupata naomba nitagNautafuta uzi mwingine ambao bidada ameanzisha akisema amezingiziwa.. hafu napima nijue wapi ukwel wapi uwongo..
Uyo wa kimara ndio nipo nae mpk Sasa na alinitumia 7000 baada y Mimi na uyo anaedai nimetapel elfu 50 kutoelewana maan yy hakuwa anaitaj mke Ila sexing
Kwa iyo uyo wa kimara ndo anakula mzigo sasa hivi baada ya kutuma 7000? Kitulize sasaUyo wa kimara ndio nipo nae mpk Sasa na alinitumia 7000 baada y Mimi na uyo anaedai nimetapel elfu 50 kutoelewana maan yy hakuwa anaitaj mke Ila sexing
Kwanza kabisaa nikupe pole.... hizo picha pengine sio zake.... labdaa kachukua online...Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Ushahidi wote nnao,mpaka picha zake!
Safari hii kavamia mtumbwi wa vibwengo!
View attachment 2415945
Nautafuta uzi mwingine ambao bidada ameanzisha akisema amezingiziwa.. hafu napima nijue wapi ukwel wapi uwongo..
Uyo wa kimara ndio nipo nae mpk Sasa na alinitumia 7000 baada y Mimi na uyo anaedai nimetapel elfu 50 kutoelewana maan yy hakuwa anaitaj mke Ila sexing
Ahhahaa ila kweli, ngumu kumezaMuamala umeeditiwa
Bora kidogo cha amani kuliko kingi cha masimangoWa elf saba amekubali muoane?
Kuwa na Amani na anakuchafua vp wakat si ata hatukujuiSina MDA wa kuandika thread y kusingiziwa Nina Mambo chungunzima ya kufanya na si kudeal na wapumbavu ambao hawanisaidii lolote ktk maisha ...Fikilia MTU ameamua kukuchafua acha akuchafue maana wakat wa Mungu kumuumbua si mbali na Nina uhakika kabisa sjatapel ndiomana sipapaliki na thread za kujitetea
Kweli! Na kutuendea kwa waganga ili tuwe mazezeta.Kuna Siku niliwah andika
Usmtreat mwanamke kama Malaika.
Wangekua Malaika, Wasingekesha kutoa mimba, dhambi ya uuaji !!
huyu kijana ni Mjinga kweli nimemdharau kumbe ame edit massage ya Mwamala nilistuka 50000 kwa makato ya 9000Tulishindwana sehemu moja tu YEYE alitaka mapenzi tu Yani nilale nae kwa usiku mmoja akasema nitakupa fedha elfu 50 ukija tufilane nikamtukana nikamwambia mm sio sifiran na istoshe naitaji mume sio SIJIUZI najieshimu Sasa nazan alichokasilik ni mm kumblock baada y kunijibu shombo nilivyomwambia sifirani akanitext kawaida akaniambia kumbe hunijui nitakuchafua subili uone nikamwambia go on. Then nikablock na sms za kawaida
Nafikil ndio ivyooo kaamua aediti kijan mwenyew ukwel Hana hata uwezo wa elfu 50

Wacha kuropoka kama shoga!huyu kijana ni Mjinga kweli nimemdharau kumbe ame edit massage ya Mwamala nilistuka 50000 kwa makato ya 9000
yaani huyu ametuonaje JF? naomba Jf isimamie sheria ipasavyo huyu kima ale BAN ili wengine wajifunze!
ama kweli njia ya muongo ni fupi