Sina MDA wa kuandika thread y kusingiziwa Nina Mambo chungunzima ya kufanya na si kudeal na wapumbavu ambao hawanisaidii lolote ktk maisha ...Fikilia MTU ameamua kukuchafua acha akuchafue maana wakat wa Mungu kumuumbua si mbali na Nina uhakika kabisa sjatapel ndiomana sipapaliki na thread za kujitetea
Sikiliza dogo...
Mimi humu nilishaanzishiwaga uzi tena mara mbili
Mmoja na jamaa flani hivi
Na mwingine na lishangazi flani hivi
Unajua nini
SIKUJIBU HATA SENTENSI MOJA
unakua kwanini
HUNILISHI,HUNIVISHI,HUMU JF SIO KAZINI KWANGU,SIPATI HATA MIA HUMU,
HUMU SIO MAMA ANGU WALA BABAANGU,
utanifanya nini zaidi ya kuandika hapa...
Sooo niliendelea na maisha yangu kama kawaida...
Unatishika na mtu hamuishi nae??hajui leo asubuhi umekula nini?
Mwanzoni wakati nasome i felt very baaad...but then nikawaza kitu kimoja
KUNA MTU HUMU ANAWEZA AKAKUPA HELA KABLA YA HUDUMA KWELI??? kama ndo alikua anataka?
Kwa kuwa ulikua unahitaji mwenza kama bado hujapata you need to clarify ila kama hutaki tena au ushapata...usiongee tena..
Cha mwisho nakuadivice mdogo wangu
Tafuta ela na tafuta biashara usione aibu...anza kupika chapati na vitafunwa vizuri kama huna ujuzi (ingia you tube)
Tafuta sait anza kuuza...pia pika keki anza kuomba tenda kwenye kindergarten
Plzz....tafuta ela in anymeans
Mwenzio kabla sijapata mume i was sooo desperate
Ila sasa hivi muda mwingine najutia hata kuhangaika vile maana sasa hivi niko kwenye mihangaiko yangu nakutana na kila aina ya hao viumbe sema ndo nishaolewa hivyo.
Cha mwisho:UKITAKA MWANAUME wa kukuoa usiombe ela...narudia tena usiombe ela even a single cent...
Ukiomba ela tayari mwanaume yoyote mwenye akili ataona red flag
Na mwanaume mpuuzi ataomba jicho.
Ukitaka ushauri zaidi njoo inbox