Wana Jamii Check sahivi..Mtanange unaendelea ,kwani Moderater hawahuoni huu uzi ama wako bize na tuzo za stories of change
Mhhhh, what are you looking for,it's just funny making,kama uko njema it's ok,project in forest are welcome if you need oneHahaa ila umenifanya hapa nicheke kinoma...
Eti another one
"Another banger...baby ..
Nikuoneshe salio langu kama ela ya kutumia matumizi ya vocha ya hapa na pale?
Hao wakina nani? Ila ndio maana Mods walitubania invitations kumbe kulikua na pisi kali ivo.. dah wakaona wakomae nao wenyewe.. Uchoyo kila kona.View attachment 2422263
Mods hao hapo bado wanaendelea kunywa mvinyo wa Jukwaa la story of Change
Yule mwingine bwana salal ally ndo alipost...Mhhhh, what are you looking for,it's just funny making,kama uko njema it's ok,project in forest are welcome if you need one
Kama hao ndio Mods NAOMBA NIPIGWE BAN..View attachment 2422263
Mods hao hapo bado wanaendelea kunywa mvinyo wa Jukwaa la story of Change
Iyola99 apa naona mnatuchezea mchezo ,wew jamaa kila la kheriHaki ya Mungu vile naapa,huo mchezo sichezagi mimi na kama nimewahi kumwomba huyo dada tgo lolote linipate,na kama sikumwomba naye apate ulemavu wa kudumu maishani mwake!
Mtag hapa tujue kabisa huyu ni tp tofauti na hapo na ww utakua una chembechembe za ugashoMkuu ndo umetoka kunywa ulanzi?
Hawa ndio kina nan?View attachment 2422263
Mods hao hapo bado wanaendelea kunywa mvinyo wa Jukwaa la story of Change
Kwahiyo huyu Iyola99 ndio ulimtumia tsh 50000 akaingia socket?@Iyola99
Mweka au mwikaYule mwingine bwana salal ally ndo alipost...
Ushamix desa hapa.
Nina dogo anataka kumpeleka mwika so ndo nataka nipate abc za hapa na pale...
Coz naambiwa ad ni mil25 afu ajira ndo kama hivi yaani...
Ukimaliza unaanza kupambana na hali.sasa hizo abc nahitaji kutoka kwa yule member yule
Aloomba jicho ni nani asa?Sikiliza dogo...
Mimi humu nilishaanzishiwaga uzi tena mara mbili
Mmoja na jamaa flani hivi
Na mwingine na lishangazi flani hivi
Unajua nini
SIKUJIBU HATA SENTENSI MOJA
unakua kwanini
HUNILISHI,HUNIVISHI,HUMU JF SIO KAZINI KWANGU,SIPATI HATA MIA HUMU,
HUMU SIO MAMA ANGU WALA BABAANGU,
utanifanya nini zaidi ya kuandika hapa...
Sooo niliendelea na maisha yangu kama kawaida...
Unatishika na mtu hamuishi nae??hajui leo asubuhi umekula nini?
Mwanzoni wakati nasome i felt very baaad...but then nikawaza kitu kimoja
KUNA MTU HUMU ANAWEZA AKAKUPA HELA KABLA YA HUDUMA KWELI??? kama ndo alikua anataka?
Kwa kuwa ulikua unahitaji mwenza kama bado hujapata you need to clarify ila kama hutaki tena au ushapata...usiongee tena..
Cha mwisho nakuadivice mdogo wangu
Tafuta ela na tafuta biashara usione aibu...anza kupika chapati na vitafunwa vizuri kama huna ujuzi (ingia you tube)
Tafuta sait anza kuuza...pia pika keki anza kuomba tenda kwenye kindergarten
Plzz....tafuta ela in anymeans
Mwenzio kabla sijapata mume i was sooo desperate
Ila sasa hivi muda mwingine najutia hata kuhangaika vile maana sasa hivi niko kwenye mihangaiko yangu nakutana na kila aina ya hao viumbe sema ndo nishaolewa hivyo.
Cha mwisho:UKITAKA MWANAUME wa kukuoa usiombe ela...narudia tena usiombe ela even a single cent...
Ukiomba ela tayari mwanaume yoyote mwenye akili ataona red flag
Na mwanaume mpuuzi ataomba jicho.
Ukitaka ushauri zaidi njoo inbox