Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Yaah seems ilikua inatumwa 500,000 au kuendelea
Ikaeditiwa

Hawa kuna mahali wameshindwana mmoja kaamua kumwaga ugali
Tulishindwana sehemu moja tu YEYE alitaka mapenzi tu Yani nilale nae kwa usiku mmoja akasema nitakupa fedha elfu 50 ukija tufilane nikamtukana nikamwambia mm sio sifiran na istoshe naitaji mume sio SIJIUZI najieshimu Sasa nazan alichokasilik ni mm kumblock baada y kunijibu shombo nilivyomwambia sifirani akanitext kawaida akaniambia kumbe hunijui nitakuchafua subili uone nikamwambia go on. Then nikablock na sms za kawaida
Nafikil ndio ivyooo kaamua aediti kijan mwenyew ukwel Hana hata uwezo wa elfu 50
 
Duh siku binadamu ni mwendo wa kifiro tu. Pole ndo maswahibu ya maisha
 
Tulishindwana sehemu moja tu YEYE alitaka mapenzi tu Yani nilale nae kwa usiku mmoja akasema nitakupa fedha elfu 50 ukija tufilane nikamtukana nikamwambia mm sio sifiran na istoshe naitaji mume sio SIJIUZI najieshimu Sasa nazan alichokasilik ni mm kumblock baada y kunijibu shombo nilivyomwambia sifirani akanitext kawaida akaniambia kumbe hunijui nitakuchafua subili uone nikamwambia go on. Then nikablock na sms za kawaida
Nafikil ndio ivyooo kaamua aediti kijan mwenyew ukwel Hana hata uwezo wa elfu 50
Kwa hiyo hata hiyo 50k hakutuma??
 
Back
Top Bottom