Pole sana ndugu yangu. Wakati mwingine ni vigumu kuhisi mtu fulani anaweza kukutapeli.
Pole sana hao wapo siku nyingi na sijui kwanini hawakamatwi, maana wamewaliza watu kibao!
Unbelievable! hii lazima umetunga tu, no way, absolutely impossible.
Yaani leo, Machi 2013, uibiwe kiZOMBIE namna hiyo? no way.
Kama ni kweli basi AMKA!.
Huenda excess uliyokuwa unafukuzia haifikii hata elfu 10 .. Pole sanaaa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Pole sana..sasa mkuu nawe unapandishwa ngazi na kukabidhiana pesa ngazini kweli? Mbona maduka yapo wazi tu hapo City Centre na vibao vimewekwa vya bei za kubadilishia pesa? Basi ungeenda hata benki mkuu.
Hapana mkuuu, nilipewa mkononi laki 2 na elfu 22. Nikanywewa zote na kubakiwa na elfu 50 tu.Karibu Dsm ndugu yangu. Huenda excess uliyokuwa unafukuzia haifikii hata elfu 10 .. Pole sanaaa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umetapeliwa kimazingaombwe au Kikondoo? Wewe mtu anakuja anakuzoa kama gunia?Wanabodi, habari zenu.
Leo asubuhi nimeenda zangu city centre kwa shughuli. Nilikuwa na kiasi fulani cha hela ya kigeni mfukoni. Nikaamua kwenda kwenye moja ya maduka ya kubadiili pesa mtaa wa samora. Katika kusimama na kuangalia vibao vya exchange rates kwenye maduka hayo jamaa mmoja akanikaribia na kunambia kuna duka jirani ambalo wanabadili kw bei nzuri zaidi. Akapendekeza nimfuate anioneshe. Ilikuwa ni jirani sana, jengo refu la gorofa.
Kufika pale tukakutana na" mwenye duka" kwenye ngazi. Jamaa angu akamweleza shida yangu. Mwenye duka akaniuliza kiasi cha hela ninachotaka kubadilisha. Nikamweleza. Akasema tumsubiri. Akapanda juu akarudi na hela ya kitanzania kaifunga vema. Akanipa. Nikahesabu, nikaridhika. Tukaagana. Nikiwa njiani nikapata kishawishi cha kuangalia hizo pesa. Nilishangaa kukuta nimebakiwa na elfu 50 tena zikiwa zimekunjwa na kufungwa kwenye mpira kama nilivokuwa nimekabidhiwa.
Sikuamini macho yangu. Kwa kuwa nilikuwa nimefika mbali nilishindwa kuwarudia wale watu. Nipo hapa nauguza maumivu ya kutapeliwa kimazingaombwe. Sielewi nifanye nini! Jihadharini sana na matapeli jamani.
Hao jamaa wapo,nna ndo kazi zao,kama umemmaki sura unaweza wapata kwani daily wapo mitaa hiyo.pole sana Mkuu
Mkuu, niamini. Imenitokea leo asubuhi.Unbelievable! hii lazima umetunga tu, no way, absolutely impossible.
Yaani leo, Machi 2013, uibiwe kiZOMBIE namna hiyo? no way.
Kama ni kweli basi AMKA!.
Umetapeliwa kimazingaombwe au Kikondoo? Wewe mtu anakuja anakuzoa kama gunia?
Hapana mkuuu, nilipewa mkononi laki 2 na elfu 22. Nikanywewa zote na kubakiwa na elfu 50 tu.