chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Kuna wizi wa ccm siyo usalama wa nchi, akija mtu leo na hela akatwmbia nataka kuteka nchi tumfiche nahisi hata mawaziri wanaweza kumficha haraka na kwa upendo mkubwa
Kuna wizi wa ccm siyo usalama wa nchi, akija mtu leo na hela akatwmbia nataka kuteka nchi tumfiche nahisi hata mawaziri wanaweza kumficha haraka na kwa upendo mkubwa
Mleta mada usipoteze watu, pitia hizi information zikusaidie. Hakuna siri kwenye internet.
no secrets on internet - Google Search
Mleta mada usipoteze watu, pitia hizi information zikusaidie. Hakuna siri kwenye internet.
no secrets on internet - Google Search
Ni kweli unachokisema hakuna siri mtandaoni,ukitaka iwe siri labda uhifadhi kwenye andaki.
Pentagon ni moja ya sehemu ambayo data zake zinalindwa sana lakini wajanja wanaingia kama kawaida. Itakuwa Tanzania ambayo hata hiyo teknolojia yenyewe ya mtandao bado hatuijui vizuri?
Pentagon Admits 24,000 Files Were Hacked, Declares Cyberspace A Theater Of War - Business Insider
Wanaposema hakuna siri wanamaanisha ukibandika kitu mahali kinaweza kudakwa sehemu nyingine. Hii haimaanishi kuwa uache kila kitu wazi bila tahadhari eti kwasababu hakuna siri. Kumbuka hapa tunaongelea tovuti ya bunge siyo kajitovuti ka mipasho. Acha kutetea ujinga wewe.
You're missing the point, a government site cannot be hosted on foreign country.
Sijakuelewa....kwa hiyo kama hata Pentagon walikuwa hacked basi sisi ndio tujiachie tu, hakuna umuhimu wowote wa kujali usiri/security kwa taasisi yetu muhimu sababu tu hata Pentagon waliwahi kuwa hacked!?
Uwe na mtandao wako wa serikali ambao hauingiliani na huu wa US (Internet). Hata uweke wapi au uwe wapi, haijalishi, hakuna mpaka kwenye mtandao. Mafaili uyahifadhi US au uyahifadhi Tanzania ni hali moja, wenye mtandao wakiyataka wanayakokoa yalipo. Haijalishi ni wa bunge la Tanzania au US.
Usidhani pale bungeni wote ni mambumbumbu na hawalijui hilo, pale wanahifadhi hivyo hivyo vitu ambavyo unaweza wewe na mimi na mwingine akaingia kwenye tovuti yao na kuvipata. Kama umeona kuna siri iliyowekwa hapo ya Taifa amabayo ukiingia kwenye tovuti ya Bunge huwezi kuipta tuoneshe, bila hivyo, kama ni kuhusu kuweka mafaili ya mtandao US basi usitumie kanbisa hii internet, kwani hii yenyewe ilikuwa ni chombi cha mawasiliano cha jeshi la US na walipopata mawasiliano mengine ambayo yapo advanced zaidi wakauwachia huu utumike na kila mtu na kilichopo kwenye huu mtandao, chochote kile, kipo under their control.
How can you say a Government site cannot be hosted in a foreign country while the heart of the internet belongs to "that" foreign country? What a way of thinking, Hii ni "damned if you do damned if you don't".
Acha kubisha wewe zomba, hapo wahusika wameboronga na wewe kutetea ujinga unakua hauna tofauti na wahuska. Hata kama kweli US ndio waliotengeneza hii tekinolojia ya internet bado hakuna uhalali wa website ya bunge ku-hosted nje ya nchi. Huko ni kutokuwa makini katika mambo muhimu kitu ambacho tunakiona katika mambo mombo mengi yanyo fanyika nchini.
Now you act like someone who doen't know a yack about the internet.
Ni kosa la Usalama wa Taifa.
View attachment 1449541
Nawashukuru kwa kunisikiliza naona DNS mpaka server za mafaili yote yako Tanzania.
Kuna encryptions za data,data unaweza kuwa encrypted na zisiweze kufunguliwa na yoyote isipokuwa mtu au watu husikaHata uyatunze mwezini, mradi yako kwenye mtandao unaomilikiwa na US basi yakitakikana yanapatikana, usijidanganye wala usidanganye wengine kwa kuwa yanatunzawa Tanzania au US ndio yanawezekana yasipatikane. Kama unataka usalama wa data zako basi uwe na mtandao tofauti na huu wa internet, data zote ambazo zina link ya aina yoyote ya kwenye internet basi zipo "vulnerable" hakuna njia yoyote ya kuzuia.
Sidhani kama data za bunge au hizo za Serikali zina siri ambayo haijulikani kwa anaetaka kuzijuwa.
Hizi tovuti zetu za Afrika zinatumiwa sana na script kiddies wa nje kama kichwa cha mwendawazimu. Yaani PHP 5, aisee! Natumai wahusika wataliona hili na kulisahihisha.Websites zote za taasisi za kiserikali Afrika Mashariki zipo hosted kwenye data centre za kila taifa husika, hii ni sera ya kitambo.
Halafu hata bora huko walikua hosted Marekani, kama umefanya kazi na hawa data centers, yaani wazembe kupita maelezo, full kero.
Kwanza hebu fanya scanning ya hii website unayoisemea parliament.go.tz ushangae iko hosted kwenye PHP ya zamani sana version 5
Yaani version iliyopitwa na wakati na sio salama kabisa hata kuhost tovuti ya mjumbe wa nyumba kumi.
😂😂😂Websites zote za taasisi za kiserikali Afrika Mashariki zipo hosted kwenye data centre za kila taifa husika, hii ni sera ya kitambo.
Halafu hata bora huko walikua hosted Marekani, kama umefanya kazi na hawa data centers, yaani wazembe kupita maelezo, full kero.
Kwanza hebu fanya scanning ya hii website unayoisemea parliament.go.tz ushangae iko hosted kwenye PHP ya zamani sana version 5
Yaani version iliyopitwa na wakati na sio salama kabisa hata kuhost tovuti ya mjumbe wa nyumba kumi.
Hizi tovuti zetu za Afrika zinatumiwa sana na script kiddies wa nje kama kichwa cha mwendawazimu. Yaani PHP 5, aisee! Natumai wahusika wataliona hili na kulisahihisha.