Nimestushwa na Bunge La Tanzania

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
8,319
17,473
Nimeshangazwa na kusikitiswa kuona kuwa tovuti ya bunge la Tanzania ambayo inatumia ip adress 66.187.104.94linatunza mafaili yake Marekani. Kwakweli nimeshtuka kwasababu bunge ni nguzo muhimu katika nchi yetu, huwezi kutunza mafaili yake nje ya nchi.

Bunge-2.jpg

Inakuwaje taarifa muhimu na hata zile za siri kuhifadhiwa ughaibuni? Hivi nchi husika (US) ikiamua kufunga hiyo akaunti kama walivyofanya Megaupoad, Bunge la Tanzania litafanya nini?

Mwisho natoa pongezi kwa Tovuti ya Taifa kutunza mafaili yake nchini.

Serikali.jpg
 
Hata uyatunze mwezini, mradi yako kwenye mtandao unaomilikiwa na US basi yakitakikana yanapatikana, usijidanganye wala usidanganye wengine kwa kuwa yanatunzawa Tanzania au US ndio yanawezekana yasipatikane. Kama unataka usalama wa data zako basi uwe na mtandao tofauti na huu wa internet, data zote ambazo zina link ya aina yoyote ya kwenye internet basi zipo "vulnerable" hakuna njia yoyote ya kuzuia.

Sidhani kama data za bunge au hizo za Serikali zina siri ambayo haijulikani kwa anaetaka kuzijuwa.
 
Watu wa namna yako ni wendawazimu.

Sidhani kama data za bunge au hizo za Serikaoi zina siri ambayo haijulikani kwa anaetaka kuzijuwa.
 
Watu wa namna yako ni wendawazimu.

Hata Einstein walisema ni mwendawazimu kwa kuwa tu kwa kiwango chao walikuwa hawajui anachokiongea. Kwa kiwango chako (kidogo sana), sidhani kama unaweza usiniite mwendawazimu kwa kuwa tu huelewi ninachokisema sitegemei kama kitakuingia.
 
Ni kosa la Usalama wa Taifa.

Kosa ni lipi hapo? hakuna kosa, haijalishi kwenye mtandao mafaili yako unayaweka kompyuta ipi au data bank ipi. Hakuna siri kwenye mtandao. Bunge kuweka mafaili yao kokote kwenye mtandao ni sawa na kuweka kokote kwenye mtandao. Mipaka ya kwenye ramani haihusiani kabisa na mipaka ya kwenye mtandao.
 
mbona hamshangai internet imeanzia wapi kama sio USA kwa ajili ya mambo ya usalama wa nchi yao baadae ndio wakakubali internet itumike mashuleni na pia taasisi zingine na biashara ikaja mwishoni kabisa
someni ktk net IP adress ni nn nani anahost na nani mgawaji wa hizo IP adress utakuta ni IANA.
soma zaidi hapa kabla ya kulishangaa bunge.IP address - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Lbda hiyo ni aina ya ku backup data wanayo itumia.
Siyo tatizo sana hilo.
 
hata einstein walisema ni mwendawazimu kwa kuwa tu kwa kiwango chao walikuwa hawajui anachokiongea. Kwa kiwango chako (kidogo sana), sidhani kama unaweza usiniite mwendawazimu kwa kuwa tu huelewi ninachokisema sitegemei kama kitakuingia.

we akili yako hustaili kukaa uraiani!ni nyie ndo mfano wa viongozi wa tanzania unategemea wewe utaongoza nchi au familia yako?fikiria kabla ya kuonesha umasaburi wako!
 
we akili yako hustaili kukaa uraiani!ni nyie ndo mfano wa viongozi wa tanzania unategemea wewe utaongoza nchi au familia yako?fikiria kabla ya kuonesha umasaburi wako!

Ungekuwa japo una ufahamu kidogo wa huu mtandao wa intaneti unafanyaje kazi usingeongea unayoyaongea.

Mafaili yanayoongelewa hapa ni "electronic files" na si majalada kama unayoyalundika ofisini kwako. Mafaili ya "electronic" hayajalishi unayahifadhi wapi kwenye mtandao, iwe kompyuta ya nyumbani kwako, kwenye simu yako, iwe hiyo simu unaibeba kichwani au mfukoni. Mradi yapo kwenye mtandao, yakitakikana yanapatikana, wewe ukitaka usitake, ukijuwa usijuwe.

Mafaili ya bunge la Tanzania haijalishi umeyaweka wapi na wewe uko wapi. Hakuna mpaka kwenye mtandao.
Fungukeni kidogo.
 
Hata uyatunze mwezini, mradi yako kwenye mtandao unaomilikiwa na US basi yakitakikana yanapatikana, usijidanganye wala usidanganye wengine kwa kuwa yanatunzawa Tanzania au US ndio yanawezekana yasipatikane. Kama unataka usalama wa data zako basi uwe na mtandao tofauti na huu wa internet, data zote ambazo zina link ya aina yoyote ya kwenye internet basi zipo "vulnerable" hakuna njia yoyote ya kuzuia.

Sidhani kama data za bunge au hizo za Serikali zina siri ambayo haijulikani kwa anaetaka kuzijuwa.

You mean there is no lesser devil than this one??????
 
Back
Top Bottom