Nimesomesha mchepuko nimepata matokeo chanya!

Sijakataa na ndo mana swala la hela sijaona kama ishu ila ishu hapa na mke wa mtu......lazma aheshimu hilo.......na lazma ajiwekee limit kuwa pamoja na yote mzigo hautolewi tena......
Kwa miaka yote aliyonipa yeye na huduma zote alizopata me nilikuwa na mke na watoto ingawa hakujua lkn haiondoi ukweli kwamba alipora haki ya mwanamke mwenzie. Anyway nataka nimtumie hii link asome maoni yenu. Halafu nimsikie anashauri nini. Lkn mpaka anitumie kwanza hela nisije kumkwaza.
 
hapo pia ni mkeo ameweka mazingira ukachepuka maana sababu za michepuko mwalalama wanawake hawatimiz wajibu??

mil 3 umeachia flaiziii mwaaa
 
Kwa miaka yote aliyonipa yeye na huduma zote alizopata me nilikuwa na mke na watoto ingawa hakujua lkn haiondoi ukweli kwamba alipora haki ya mwanamke mwenzie. Anyway nataka nimtumie hii link asome maoni yenu. Halafu nimsikie anashauri nini. Lkn mpaka anitumie kwanza hela nisije kumkwaza.
Aliporaje wakati wewe haukuwa mkweli kwake? Ungesema ukweli afu ndo useme alimpora lakini wewe mwenyewe uliamua kipora haki ya mkeo na kumpa mwanamke mwingine.... Hiyo ni wewe si yeye tena mana hakujua kuwa una mke na wewe uneridhibitisha hilo.....

Usimtumie mana utamchefua la muhimu kaa nae mbali acha atunze ndoa yake.......na wewe tunza ndoa yako kwa muda huu uliobakisha hapa duniani.......
 
Daah..! Umeongea kwa uchungu sana mpaka kichwa kimesisimka wakati nasoma maoni yako. Anyway nathamini maoni yako,acha niezeke nyumba. Lkn maoni yako nayapa kipaumbele. Hela inabidi nichukue hizi alizoniahidi na hapa yupo anatafuta salio kwa mawakala anitumie. Ahsante sana sister kwa maoni yako yaliyojaa hekima!
 
Hela haina shida we chukua tu......
 
Nakumbusha wenye kuitaj ujenz wa madirsha, milango ya aluminium glass nitafte no +255 654 069 041 WhatsApp pia no hiyo hyo
 
Ni upuuzi tu wa mazinzi: ngoja jamaa aje akunase ataribomoa na hilo banda lako na kuichomoa roho hilo la uzinifu ndo utakuja ujione wewe ni jingalao: bdala ya kuendeleza familia yako unanyelea familia za watu.
 
khee chineke miss chagga nitoe milion tatu? au umekosea ni laki tatu .. au sababu anachukua kwa mume wake ? chalii unaezeka nyumba yako na pesa za mwanaume mwenzio duh .. haya bana ndiyo wake wa siku hizi....
hahhahahahahahahah.....jamaa anakula pesa ya kidume
 
Binafsi sijaona story yako na hitimisho lake muingiliano wake...wanaolalamika kuwa wamesomeshwa wameumizwa hawafanani na wewe. .wewe ni mume wa mtu kwa hiyo hata angekupa maumivu isingekuuma...scenario yako na wengine havina muingiliano wa kimaana...
 
Mkuu karibu muda wote ambao nimekuwa nae hakujua km nimeoa. Na km angekuwa na dhamira mbaya km unavyodhani,baada ya kugundua nadhani ilikuwa nafasi nzuri zaidi kwake kukimbia. Tukubaliane tu kwamba wanatofautiana mkuu...!
 
hawa wanaume hawa aisee hapana.. thanks for coming
 
Mkuu karibu muda wote ambao nimekuwa nae hakujua km nimeoa. Na km angekuwa na dhamira mbaya km unavyodhani,baada ya kugundua nadhani ilikuwa nafasi nzuri zaidi kwake kukimbia. Tukubaliane tu kwamba wanatofautiana mkuu...!
Ambacho unakisema wewe ni kesi ya mbwa kumuuma binadamu ila watu wanazungumzia(ga) binadamu kumuuma mbwa....wewe kama ungekuwa bachelor na kila kitu matumaini yako umeweka kwake ndo ungepata majibu vzr na ndio ingefanana na story za wengine au hitimisho lako..
 
Yaani tafisiri yako unasema nisingekuwa nimeoa na yeye angekuwa tofauti..!!? Wakati mwingine tujitahidi kuzitumia akili zetu vizuri ktk kuwaza. Huyu mtu hakujua km nimeoa,maana yake ni kwamba alikuwa na kilekile kichwani unachokisema wewe. Sasa sijui angebadilika nini km ningekuwa single wakati ndo alipenda iwe hivyo..?? Anyway tumeumbwa na tofauti za kimawazo,mitazamo nk.
 
Mkuu story yako ipo kinyume...ni kesi ya mbwa kumuuma binadamu ambacho ni kitu cha kawaida...
 
Back
Top Bottom