magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,339
Duh...! Hongera mkuu ngungwangungwa hii ni nadra sana kutokea.
Hahaha gelofriend acha tu mweeeGelofriend teh nakuonea huruma unavohangaika na viboro dinda
Watu wote tuseme AMEEEEEEN.!!!!!!!Eeh Mungu baba linda mume wangu huko alipo. Mtie upofu asione mwanamke mwngne zaid yangu. Hata michepuko iwe makapi kwake. Ktk jina la Yesu. Amen.
AMEN.Watu wote tuseme AMEEEEEEN.!!!!!!!
Sawasawa!Hapa ndo ninapokumbukaga yale maneno ya busara kwenye biashara yanayosema
The higher the risk the higher the return...!
Akirudia tena gegedo lake halitabanduka ndani ya papuchi mpaka mke wake na mume wa mzizi mwenzie waitwe shwaini wakubwa''...Baadae tukatoka si unajua tena hatukugombana ki-vileee! Haikuwa rahisi kuachana hivihivi. Tukaenda kukumbushia...''
Hii sentensi tu ndio inanipa tafakuri mchana wa leo......
Mkuu nadhani huo ni mtizamo. Kwa mfano huyu binti,pamoja na kumdanganya kuwa sijaoa na baadae kugundua,lkn bado nnapoongea nae ana kauli zile zile km za mwanzo ambazo alikuwa akitoa kuelezea jinsi nnavyomsaidia. Tena amini usiamini tulikutana facebook.Siwezi somesha mpenzi ata iweje hawa watu sio wazuri kabisa tena mkiwa mbali mbali ndo balaa tupu
unaona ajabu gani mkuu? Me mbona nilimsaidia nyingi kuliko hizo au hujasoma vizuri mada yenyewe umeona milioni 3 tu?? Hela za kawaida sana hizo km unazo.Khe!! Nkupe milion3 kiruuuu
Lkn ukipewa ww na mengi ni sawa..!!?chai hii tamu...usawa huu hata mke wa Mengi haezi kupa m tatu...
ukitaka kusema stori yake inafundisha nini unakosea.. Hivi kuna story ngapi zinaletwa hapa Jamvini hazina vichwa wala Miguu na watu bado wanachangia? Kwa upande wangu mleta mada nimemuelewa sana na hilo alilolisema lipo kwa watu wengi sio kwenye ndoa tu.. Vijana wengi husomesha wachumba zao lakini mwisho wa Siku huachwa wakilia so kukutana na binti aina ya huyo wa mtoa mada ni nadra sana so sisi tunajifunza hapo kuwa sio wote wenye roho Za kinyamakwa hiyo story yako inafundisha nini jamii?
kwa uelewa wangu mdogo unahamasisha mchepuko jambo ambalo sio la busara.
hata mm nimejifunza kitu, jinsi tu nilivyoanza msg yangu tu ndo imekustua bali tuko pamojaukitaka kusema stori yake inafundisha nini unakosea.. Hivi kuna story ngapi zinaletwa hapa Jamvini hazina vichwa wala Miguu na watu bado wanachangia? Kwa upande wangu mleta mada nimemuelewa sana na hilo alilolisema lipo kwa watu wengi sio kwenye ndoa tu.. Vijana wengi husomesha wachumba zao lakini mwisho wa Siku huachwa wakilia so kukutana na binti aina ya huyo wa mtoa mada ni nadra sana so sisi tunajifunza hapo kuwa sio wote wenye roho Za kinyama
Ahsante sana mkuu ibra87 kwa mchango wako. Hata mimi pamoja na msaada mkubwa niliompatia,lkn sikuwahi kufikiria km anaweza kuwa na kumbukumbu ya kurudisha fadhila kiasi hiki. Si kitu cha kawaida hata me kimenistua ndo maana nikaamua ku-share hapa na watu wengine.ukitaka kusema stori yake inafundisha nini unakosea.. Hivi kuna story ngapi zinaletwa hapa Jamvini hazina vichwa wala Miguu na watu bado wanachangia? Kwa upande wangu mleta mada nimemuelewa sana na hilo alilolisema lipo kwa watu wengi sio kwenye ndoa tu.. Vijana wengi husomesha wachumba zao lakini mwisho wa Siku huachwa wakilia so kukutana na binti aina ya huyo wa mtoa mada ni nadra sana so sisi tunajifunza hapo kuwa sio wote wenye roho Za kinyama
mkuu hakuna Dhambi hapo.. Binti kulipa fadhira ni jambo la msingi na hata Mgegedo ni malipo ya wema aliyoufanya hapo mwanzo.. Kula ni kula hata kama unakula vya watuUmefanya vibaya broo pesa kakupa kisha ukakumbushia tena wakat unajua huyo ni mwanamke c wako tena kama aliolewa umepata zambi