If u read btn the lines u can realize it's too sweet to be goodkhee chineke miss chagga nitoe milion tatu? au umekosea ni laki tatu .. au sababu anachukua kwa mume wake ? chalii unaezeka nyumba yako na pesa za mwanaume mwenzio duh .. haya bana ndiyo wake wa siku hizi....
''...Baadae tukatoka si unajua tena hatukugombana ki-vileee! Haikuwa rahisi kuachana hivihivi. Tukaenda kukumbushia...''
Hii sentensi tu ndio inanipa tafakuri mchana wa leo......
okey let me read againIf u read btn the lines u can realize it's too sweet to be good
Mkuu miss chagga kwa nini unadhani naezeka kwa hela za mwanaume mwenzangu wakati mtoaji anafanyakazi?? Me siamini km ni za mumewe,hizi ni zake na anarudisha fadhila. Na hapa me sifichi kitu,kwa mtu yeyote muungwana,angefanya vile. Me nimeumia sana kwake..! Nimemsaidia mpaka kuna kipindi alikuwa ananihurumia.khee chineke miss chagga nitoe milion tatu? au umekosea ni laki tatu .. au sababu anachukua kwa mume wake ? chalii unaezeka nyumba yako na pesa za mwanaume mwenzio duh .. haya bana ndiyo wake wa siku hizi....
pole kwa kuumia ila amini usiamini ukweli ni kwamba unaezeka na pesa za mwanaume mwenzio ..ila better ukachukua hiyo balance na ukakata mawasilianoMkuu miss chagga kwa nini unadhani naezeka kwa hela za mwanaume mwenzangu wakati mtoaji anafanyakazi?? Me siamini km ni za mumewe,hizi ni zake na anarudisha fadhila. Na hapa me sifichi kitu,kwa mtu yeyote muungwana,angefanya vile. Me nimeumia sana kwake..! Nimemsaidia mpaka kuna kipindi alikuwa ananihurumia.
mkuu kwani ni lazima kuchangia kila Thread? Hebu niambie hata km ni hivyo ulivyosema,hiyo promo hapa inafanyaje kazi?? Jitahidi kutumia kichwa kufikiri badala ya kiungo kingine. Wengine huwa hatuna utamaduni wa kutunga uzushi ingawa kwenye hili jukwaa siyo kosa. Kwa kukusaidia tu,me mwanaume na nimeoa.Huu muandiko wa mleta mada umekaa kike kike
Itakuwa ni Jike linakuja kujipa promo...
Kamata Fursa hio mzee wa Aluminium!! Wakishaezeka, mamsap ahamishie mahaba kwenye milango na madirisha ya AluminiumKwa wale wenye ujenz npo Mr aluminium glass,ujenz bora madirsha, milango usisite kunitafuta piga no +255 664 069 041 WhatsApp pia no hyo hiyo
halafu matatizo yakitokea kwenye ndoa wanalalamika ooh sijui kulogwa sijui nini.... any way
Nashukuru kwa maoni yako,lkn kumbuka me na huyu mtu tulikuwa wapenzi kabla hata ya huyu mme. Na kusema kweli,kujaribu kumsahau mwanamke uliyewahi kumpenda,ni sawa na kumkumbuka mtu usiyemfahamu..! Na tulidumu kwa kipindi kirefu sana. Anyway ntajitahidi kufanya hivyo kuepusha mengine.pole kwa kuumia ila amini usiamini ukweli ni kwamba unaezeka na pesa za mwanaume mwenzio ..ila better ukachukua hiyo balance na ukakata mawasiliano
nakutakia kila la kheriNashukuru kwa maoni yako,lkn kumbuka me na huyu mtu tulikuwa wapenzi kabla hata ya huyu mme. Na kusema kweli,kujaribu kumsahau mwanamke uliyewahi kumpenda,ni sawa na kumkumbuka mtu usiyemfahamu..! Na tulidumu kwa kipindi kirefu sana. Anyway ntajitahidi kufanya hivyo kuepusha mengine.
kweli kabisa mla huliwaHawajui ukikumbushia na wa mwenzio na wako naye ana wazamani wake ukimkuta usilalamike na yeye anakumbushia.....
Wana MMU
Salaamu,
Me nimeoa miaka 18 iliyopita
hakujua km NIMEOA!
kwa sharti la kuwa ndugu tu,mapenzi tena hapana!
Nikampongeza kwa kuolewa.
Tukaenda kukumbushia.
Nawasilisha.