Nimesomesha mchepuko nimepata matokeo chanya!

Duh hii story imenifanya nitoe siri yangu bure, ni kweli bro haya yanatokea japo kwa nadra sana. Mimi nina demu M Botswana. Niko nae kwa miaka mitatu sasa (anamalizia masomo chuo kikuu cha Gaborone). Mwaka jana nikaamua toka moyoni nikiwa Kampala nikanunua zawadi kwa ajili yake. Suruali,koti na chupi kadhaa. Kama sina akili nikapata safari ya kuja Mwanza kuhemea hapo nikabeba zawadi zangu bila wife kuziona kwenye begi langu la mgogoni hadi DHL Mwanza. Kufika pale wahudumu wakaanza kuzikagua akawepo demu wa kihindi akashobokea koti na kuniomba anirudishie pesa!! Nikamwambia tayari nishamuonyesha WhatsApp. Nikalipia gharama na wakaniambia siku ya nne atazipokea aikuamini kwa vile ilikuwa siku ya kwanza kutumia huduma hii. Alipopokea alifurahi sana kwani koti alipiga picha akiwa amelivaa palepale mapokezi (DHL Gaborone) akiwa na marafiki zake. Jana alinitumia sms whattsapp akiuliza kama huduma ya Western Union inapatikana. Gafla bin vuu akaniambia niende nikachukue doller 300 post!! Kwanza sikuamini kabisa. Sasa jana amenipa option matata sana ukizigatia nina mke na watoto na nawapenda kama moyo wangu na sijamwambia kama nina mke. Ameniambia wao huko Botswana unapomaliza masomo tayari unakuwa na posti ya kazi na wanapewa pesa nzuri tu ya kujikimu. Hivyo anataka niende huko wakati anamalizia masomo minute nafanya kazi mining na akianza tu ajira ananitoa huko migodini kwani baba yake ni boss ktk hayo machimbo na wako na baba yao mama yao kishafariki kitambo sana.
Dada ulichoongea nakubaliana na wewe kabisa. Lakini ujue dada watu tunafanya haya sababu ya maisha. Lengo ni kufanikisha maisha ila tajitahidi kufuata ushauri wako. Nikishindwa nisamehe na uniombee kwa mungu.
 
Attachments

  • 1453213838572.jpg
    1453213838572.jpg
    69.4 KB · Views: 25
Dada ulichoongea nakubaliana na wewe kabisa. Lakini ujue dada watu tunafanya haya sababu ya maisha. Lengo ni kufanikisha maisha ila tajitahidi kufuata ushauri wako. Nikishindwa nisamehe na uniombee kwa mungu.
Inamaana huyo Dada aliekutumia dola 300 humpendi...samahani lakini am just curious...
 
Duh...! Me hapa wala sina cha kusema. Lkn niseme wazi tu,mambo km haya yanapotokea kuamua km yalivyo mawazo ya wengi huwa ni shida sana. Huu ni mtihani mkubwa sana kwako mkuu. Me kipindi namsaidia huyu binti,kuna wakati nilikuwa nawaza sana,hivi mwisho itakuaje pesa zinapotea na uwezekano wa kumuoa ulikuwa mdogo mno! Huwezi kuamini mkuu,alivyogundua nimeoa,na mazungumzo tuliyofanya,kiukweli kabisa nilishukuru Mungu..! Na nililidhika kabisa kuachana nae ingawa nilimetumia hela nyingi sana juu yake. Tukubali haya yanatokea kwa vile tupo Duniani,tusingekuwepo yasingetokea.
 
Mmh mpendwa tunashauriana tu hapa, Kila mtu ana mzigo wake anaohangaika nao, wote tu tunahitaji rehema

Trust me unaweza ukafanya mambo kibao afu yasifanikiwe kwa sababu tu hayana baraka ya mkeo (hata kama mkeo hajui ni nini haswa kinaendelea). So usishangae ukakosa vyote au ukapata vyote au kimoja. Anyway Mungu ana makusudi yake kokote anakokupitisha, so let his will be done.
 
Dada brenda kwanza ufahamu huyu mtu sijakutana nae live tofauti na skype na tunaongea sana akiwa anapata chakula chuoni na akiwa nyumbani kwao. Hapa dada tunatafuta fursa halali kuliko kumeza madawa ya kulevya ni bora ukajaribu maisha kwa style hii kitu kimoja ambacho nampenda niliona nikimwambia sina demu ataniona sididishi ama nina kasoro hivyo nikamtamburisha mtoto mmoja tu kuwa huyu ndo nilizaa na ex girlfriend wangu na anamfahamu. Samahani dada naposti baadhi ya vielelezo vya DHL lkn simu yangu inaonyesha kama picha imegoma nijulishe kama huko zinaonekana au nifanye vipi zitoke fresh. Dada huko tunaenda tu kujaribu maisha na siwezi kuwaacha watoto na mke baadae tamwambia tu mbele ya safari maana hamna namna.
 
Attachments

  • 1453214665914.jpg
    1453214665914.jpg
    49.1 KB · Views: 25
Kama hizo pesa ni amezitoa kwenye account ya mume wake na wewe umepewa upaulie nyumba si ajabu baada ya Kuwa hiyo nyumba imekamilika na umehamia na familia yako siku moja unapigiwa simu kufahamishwa Kuwa kwako kunawaka moto ¡¿
 
Hyo milion 3 ya tanzania au zimbabwe?
Watu mbona mnashangaa milioni 3!? Mbona hela ya kawaida sana. Alizotumia yeye zinafika mara 6 hata zaidi ya hiyo milioni 3. Sitaki nitaje anafanyakazi wapi,lkn yupo kwenye taasisi kubwa tu na masilahi yake ni makubwa.
 
Mmh mpendwa tunashauriana tu hapa, Kila mtu ana mzigo wake anaohangaika nao, wote tu tunahitaji rehema

Trust me unaweza ukafanya mambo kibao afu yasifanikiwe kwa sababu tu hayana baraka ya mkeo (hata kama mkeo hajui ni nini haswa kinaendelea). So usishangae ukakosa vyote au ukapata vyote au kimoja. Anyway Mungu ana makusudi yake kokote anakokupitisha, so let his will be done.
Dada heaven huwa nakubali sana ushauri wako lkn ujue maisha ni magumu sana ndo sababu watu huko Libya wanazama baharini ili tu wajaribu maisha Ulaya watu wanameza madawa kutoka Brazil hadi Africa dada. Kamwe dada siwezi kuwaacha watoto/kuwatelekeza mimi natambua hapo ni malaika na siwezi kufanikiwa pasipo wao kufurahi.
 
Alafu baadae utarudi kutuomba ushauri hapa hapa kuwa mchepuko ulichukua mimba siku ile na sasa huna hakika ni yako au husband! Eeh jamani! Tuna kazi mbona ya kugawa ushauri nasaha
 
Duh...! Me hapa wala sina cha kusema. Lkn niseme wazi tu,mambo km haya yanapotokea kuamua km yalivyo mawazo ya wengi huwa ni shida sana. Huu ni mtihani mkubwa sana kwako mkuu. Me kipindi namsaidia huyu binti,kuna wakati nilikuwa nawaza sana,hivi mwisho itakuaje pesa zinapotea na uwezekano wa kumuoa ulikuwa mdogo mno! Huwezi kuamini mkuu,alivyogundua nimeoa,na mazungumzo tuliyofanya,kiukweli kabisa nilishukuru Mungu..! Na nililidhika kabisa kuachana nae ingawa nilimetumia hela nyingi sana juu yake. Tukubali haya yanatokea kwa vile tupo Duniani,tusingekuwepo yasingetokea.
Mimi nimemwachia mungu kwani nishafanya sana majaribio ya kuzamia ulaya nikiwa bado sijaoa lkn yote sikufanikiwa. Mimi si kwamba tamuacha mke wangu sasa kama ni hivyo watuweke kwenye kundi la Jacobo Zuma raisi wa South Africa ambaye nae ni full michepuko.
 
kuna katabia kama haka ka kukumbushia sijui lini kitaisha kwa watanzania,,,,,,ujinga zengine bana...
 
Una uhakika kuwa hii tabia ipo kwa watanzania tu?? Siamini km unachosema kina ukweli. Ukisema ni tatizo la Dunia nzima ntakuelewa.
 
Kuna wanawake wapumbavu sana hapa duniani.
NAAM,wapo pia wanaume wa namna hiyohiyo.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Back
Top Bottom