Mkuu ni kweli unachosema,lkn nadhani aliongea kwa hasira tu baada ya kugundua nina mke. Ni muda sana ulipita,hata harakati za kuolewa hakuniambia,alikuja kunitumia picha tu. Nilivyouliza ndo akaniambia. Kwa mazingira ya siku ile alivyokuja,hata km ungekuwa ww mkuu,ilikuwa ni vigumu mno kukwepa ule mtego. Alikuwa amependeza ile mbaya,lkn yeye pia alionekana kunikumbuka zaidi baada ya kuniona. Lkn kwa maoni niliyopata hapa,naachana kabisa kwenye suala la mapenzi.Tatizo umevunja sharti lenu.
Kusema hivi tu ulivyosema hakunisaidii sana..! Toa ushauri ningefanya nini na nifanye nini baada ya hiki kilichotokea..?? Me ni binadamu haya makosa unayoyaona kwangu,yametokana na ukamilifu wangu km binadamu.kubwa zima akili saizi ya pilton
Ni kweli kabisa haya mambo ya watu kutoheshimu viapo vya ndoa kwa vijisababu kama hivi ndio inafanya ndoa kugubikwa na migogoro yaani mtu akikutana na mpenzi wake wa primary basi akili yote inaruka!!!halafu matatizo yakitokea kwenye ndoa wanalalamika ooh sijui kulogwa sijui nini.... any way
na now days tulivyokuwa na msururu wa wapenzi aisee sipati picha kila mmoja akitaka kukumbushia ni hatariNi kweli kabisa haya mambo ya watu kutoheshimu viapo vya ndoa kwa vijisababu kama hivi ndio inafanya ndoa kugubikwa na migogoro yaani mtu akikutana na mpenzi wake wa primary basi akili yote inaruka!!!
Kwa sasa hakuna la kufanya, umeshatambua kosa, bila shaka utakuwa makini wakati mwingine.Kama ulivyosema sote tunakosea, sikulaumu wala sikuhukumu kwa sababu kila mmoja wetu amewahi kufanya jambo ambalo si sahihi kwa wakati fulani. Nyanyuka na uendelee mbele.Kusema hivi tu ulivyosema hakunisaidii sana..! Toa ushauri ningefanya nini na nifanye nini baada ya hiki kilichotokea..?? Me ni binadamu haya makosa unayoyaona kwangu,yametokana na ukamilifu wangu km binadamu.
na now days tulivyokuwa na msururu wa wapenzi aisee sipati picha kila mmoja akitaka kukumbushia ni hatari
kikweli tuache hii tabia lohKweli ni hatari maana Sekondary wapenzi wawili, chuo walikuwa watatu, baada ya kumaliza chuo wapenzi wawili na unaoa au kuolewa na mtu mwingine. We have to stop this. Halafu wengine watu wazima sana 50+ bado wanakumbushia.
Hapo safi mkuu.Mkuu ni kweli unachosema,lkn nadhani aliongea kwa hasira tu baada ya kugundua nina mke. Ni muda sana ulipita,hata harakati za kuolewa hakuniambia,alikuja kunitumia picha tu. Nilivyouliza ndo akaniambia. Kwa mazingira ya siku ile alivyokuja,hata km ungekuwa ww mkuu,ilikuwa ni vigumu mno kukwepa ule mtego. Alikuwa amependeza ile mbaya,lkn yeye pia alionekana kunikumbuka zaidi baada ya kuniona. Lkn kwa maoni niliyopata hapa,naachana kabisa kwenye suala la mapenzi.
Duh hii story imenifanya nitoe siri yangu bure, ni kweli bro haya yanatokea japo kwa nadra sana. Mimi nina demu M Botswana. Niko nae kwa miaka mitatu sasa (anamalizia masomo chuo kikuu cha Gaborone). Mwaka jana nikaamua toka moyoni nikiwa Kampala nikanunua zawadi kwa ajili yake. Suruali,koti na chupi kadhaa. Kama sina akili nikapata safari ya kuja Mwanza kuhemea hapo nikabeba zawadi zangu bila wife kuziona kwenye begi langu la mgogoni hadi DHL Mwanza. Kufika pale wahudumu wakaanza kuzikagua akawepo demu wa kihindi akashobokea koti na kuniomba anirudishie pesa!! Nikamwambia tayari nishamuonyesha WhatsApp. Nikalipia gharama na wakaniambia siku ya nne atazipokea aikuamini kwa vile ilikuwa siku ya kwanza kutumia huduma hii. Alipopokea alifurahi sana kwani koti alipiga picha akiwa amelivaa palepale mapokezi (DHL Gaborone) akiwa na marafiki zake. Jana alinitumia sms whattsapp akiuliza kama huduma ya Western Union inapatikana. Gafla bin vuu akaniambia niende nikachukue doller 300 post!! Kwanza sikuamini kabisa. Sasa jana amenipa option matata sana ukizigatia nina mke na watoto na nawapenda kama moyo wangu na sijamwambia kama nina mke. Ameniambia wao huko Botswana unapomaliza masomo tayari unakuwa na posti ya kazi na wanapewa pesa nzuri tu ya kujikimu. Hivyo anataka niende huko wakati anamalizia masomo minute nafanya kazi mining na akianza tu ajira ananitoa huko migodini kwani baba yake ni boss ktk hayo machimbo na wako na baba yao mama yao kishafariki kitambo sana.
jamani mkeo na watoto mfyuuuuuuDuh hii story imenifanya nitoe siri yangu bure, ni kweli bro haya yanatokea japo kwa nadra sana. Mimi nina demu M Botswana. Niko nae kwa miaka mitatu sasa (anamalizia masomo chuo kikuu cha Gaborone). Mwaka jana nikaamua toka moyoni nikiwa Kampala nikanunua zawadi kwa ajili yake. Suruali,koti na chupi kadhaa. Kama sina akili nikapata safari ya kuja Mwanza kuhemea hapo nikabeba zawadi zangu bila wife kuziona kwenye begi langu la mgogoni hadi DHL Mwanza. Kufika pale wahudumu wakaanza kuzikagua akawepo demu wa kihindi akashobokea koti na kuniomba anirudishie pesa!! Nikamwambia tayari nishamuonyesha WhatsApp. Nikalipia gharama na wakaniambia siku ya nne atazipokea aikuamini kwa vile ilikuwa siku ya kwanza kutumia huduma hii. Alipopokea alifurahi sana kwani koti alipiga picha akiwa amelivaa palepale mapokezi (DHL Gaborone) akiwa na marafiki zake. Jana alinitumia sms whattsapp akiuliza kama huduma ya Western Union inapatikana. Gafla bin vuu akaniambia niende nikachukue doller 300 post!! Kwanza sikuamini kabisa. Sasa jana amenipa option matata sana ukizigatia nina mke na watoto na nawapenda kama moyo wangu na sijamwambia kama nina mke. Ameniambia wao huko Botswana unapomaliza masomo tayari unakuwa na posti ya kazi na wanapewa pesa nzuri tu ya kujikimu. Hivyo anataka niende huko wakati anamalizia masomo minute nafanya kazi mining na akianza tu ajira ananitoa huko migodini kwani baba yake ni boss ktk hayo machimbo na wako na baba yao mama yao kishafariki kitambo sana.
mwache akafanye kazi huko halafu atelekeze familia huku ... halafu akishafigirisiwa arudi bongo aanze mojaMe sikuhukumu coz sistahili na sina mamlaka hayo na sijui yalikukuta yapi hadi ukaingia kwenye hayo mahusiano. Ila please muheshimu Mungu, kiapo chako cha ndoa, na muheshimu mkeo pia. Assume tu mkeo ndo anakufanyia hivi ungejisikiaje?
Pili please usimpotezee muda binti wa watu while unajua kabisa haitotokea mkaoana. Afu worse enough hajui kama umeoa. Usiruhusu machozi ya huyo binti yakawa laana kwako na kwa kizazi chako. Afu inaonekana kama hiyo offer ya kazi inakuchanganya akili now. Please mkimbie shetani kabla hujaja kubomoa familia yako kwa mikono yako mwenyewe
How I wish atulie tu na mkewe hata kama wana matatizo gani. Watu wanavyohangaika kutafuta wake hivi afu wengine wanazingua mmhmwache akafanye kazi huko halafu atelekeze familia huku ... halafu akishafigirisiwa arudi bongo aanze moja
asiposikia akahangaike na hawatambui vizuri hao watu wa south mwache apagawe na vipesa aoneHow I wish atulie tu na mkewe hata kama wana matatizo gani. Watu wanavyohangaika kutafuta wake hivi afu wengine wanazingua mmh