na wacheza forexMotivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Mkuu mwambie makrita akuadd telegram alikuwa na group hilo la kusoma vitabu viwili kwa wikiKusoma vitabu kumenibadilisha sana sana...kidg mazingira ya kupata kula yangu yamnifanya niwe nakosa muda!😑 napenda kusoma vitabu sana..km kina group la wasoma vitabu add me pls!
Nimeona telegram yao...sijaopt kujoin coz kuna payments!Mkuu mwambie makrita akuadd telegram alikuwa na group hilo la
kusoma vitabu viwili kwa wiki
duu!!! kumbe wamefikia huko.Nimeona telegram yao...sijaopt kujoin coz kuna payments!
duu!!! kumbe wamefikia huko.
wakati inaanza nilikuwepo, nikaipiga chini enzi hizo nikatembea kwa formula zangu za kusoma.
Ila Kulipa kunaongeza commitment.
ngoja wadau waweke humu maana naamini yapo magroup mengi.Sasa mm nataka for leisure tu..sio malipo tena maana siko active kivile!
Dr Makirita atakuwa bilionare hilo halina ubishi. Maarifa aliyonayo, uwekezaji anaofanya, na mtizamo wake wa maisha vyote vinavuta kila lililo jema kwake pamoja na utajiri.
Vipi Dr Makirita hata acknowledgement kwa anayekutakia mema na kuona ndiyo yako inakuja kuwa kweli?.
Nimekuwa nasoma na kuandika kila siku, hata nikiumwa, hivyo vitu viwili lazima nivifanye. Kwa bahati nzuri sijawahi kupata ugonjwa mkubwa wa kufanya nilazwe hospitali.vitabu nadhani vimekuathili mkuu.
Sidhani eti miaka mitano yote, uliweza kusoma kila siku na kuandika kila asubuhi. Maana yake hukuwahi hata kuugua.
Mkuu mimi siamini katika Positive thinking (Maana unaweza kuthing Positive kwenye negative). Naamini katika Possibility Thinking
Hahahahah,ukute hajasoma hata kimoja.Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Asante sana mkuu, nathamini sana mchango wa wale wanaoamini kwenye ndoto zangu kubwa.Vipi Dr Makirita hata acknowledgement kwa anayekutakia mema na kuona ndiyo yako inakuja kuwa kweli?.
Ndyo umeandika nn hiki chief?Unadhani altitude peke yake ndiyo inayokufanikisha?
Kuna watu wapo negative kabisa na kitu fulani lakini wanafanya sababu tu kila wakigusa kinawafanikisha. Lakini ukiwa altitude yao juu ya jambo hilo ni very negative ma hataki hata watoto wake au watu wengine wathubutu.
Ukitaka kufanikiwa put your hands in it, play it, expect the worse, vumilia mateso, utaanguka lakini amka.
Achaneni ma mambo ya kuwaambia watu close your eyes and make a wish, Life is not about making wishes but commitments.
Tuwe wakeeli tu katika eneo hili tunawa fail watu wengi sana sababu tunawasimulia mambo magumu kwa namna nyepesi.
Lipo kubwa tu..nenda fb .na kuna tamasha hivi karibuni la vitabuKusoma vitabu kumenibadilisha sana sana...kidg mazingira ya kupata kula yangu yamnifanya niwe nakosa muda!napenda kusoma vitabu sana..km kina group la wasoma vitabu add me pls!
Mkuu kumbe kuna wakati unatoa fact , nimeshazoea mada zako za utani utanivitabu nadhani vimekuathili mkuu.
Sidhani eti miaka mitano yote, uliweza kusoma kila siku na kuandika kila asubuhi. Maana yake hukuwahi hata kuugua.
Mkuu mimi siamini katika Positive thinking (Maana unaweza kuthing Positive kwenye negative). Naamini katika Possibility Thinking
Kwa hiyo wewe ulitegemea utanielewa mimi? Are you serious!!!Ndyo umeandika nn hiki chief?
Naona unajicontradict we mwenyewe!!!!
Hebu soma tena uozo ulioandika.