Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

Samahani Dr Makirita, je unaweza kutupatia status yako financially muda huu baada ya kusoma vitabu, je source ya kiuchumi kwako inatokana na kuuza vitabu, kama Kiyosaki? Naendelea kusoma nyuzi mwishoni nitakujibu bango lako
Hasty Generalization Fallacy, kushindwa wewe haimaanishi kila mtu atashindwa mkuu.
Kubali wewe umeshindwa, lakini usifanye hiyo kuwa sheria ya dunia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MkuuMakirita,
Nimefuatilia vitabu vyako vingi ni vyepesi vyepesi! sijajua lengo lako la kusoma vitabu ni nini?
Naona kama unasoma "kibiashara hivi".
Sidhani kama lengo lako ni kupata maarifa, au deep insight ya mambo.
Mimi ni msomaji sana wa vitabu, lakini hapo kwenye List yako umejaza "garbage" yaani nakuona kama umepoteza muda mwingi kusoma vitabu visivyo na maana, angalau kidogo vya Ben Carson au Kiyosaki vimeweza kukuongoza kusoma vitabu vingine.

Dunia ina maarifa mengi na uongo mwingi sana. Kuna vitabu mkuu hata uwe na speed ya kusoma pages, unaweza ukamaliza mwaka hujakielewa vizuri. Ila nakupa pongezi muelekeo wako ni mzuri,

Usomaji wangu mimi nimetofautiana na wewe.
Mimi kabla sijanunua au kusoma kitabu lazima muandishi anihakikishie Ukweli wa alichokiandika, kama ni utafiti au sources za alichokiandika, huwa simezi tu mawazo ya mtu labda kama ana experience na alichokiandika. Mfano uandishi wako unatokana na ulichokisoma kwa mwingine, kwa hiyo ni kama huna jipya. Labda uamue kuwa kama Eric Shigongo, yaani ana translate story anauza kitabu.
Kitabu chochote ambacho ni fiction huwa hakina nafasi kwangu.
Kusoma kitabu cha aina yoyote ile ni bora kuliko kutokusoma kabisa.
Unaposoma hata kama ni riwaya, unaipa akili yako kazi ya kutengeneza picha fulani na hilo linakuwa na manufaa kwako.
Lakini asiyesoma kabisa, akili yake imelala, halafu inakuwa dhaifu na mwisho inashindwa kumsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hongera sana kwa kusoma hivyo vitabu vyote kwa muda mfupi. Naona umepitia na vitabu vya jim rohn ulipata baati ya kusoma kitabu chake cha Cultivating an Unshakable Character ?

I am a fan wa Jim Rhon kama unasoft copy ya hiki kitabu tafadhali share hapa!
 
Wabongo kusoma vitabu ni sawa na kumkazimisha punda anywe maji
 
Huwa sielewi labda sio fani yangu, unakaaje mtu umetuliaaaa unasoma kitabu na unaenjoi...
Naona kama sawa na kuangalia rangi mbichi ukitani ukutani.
 
Sina uhakika kama 7 habits of highly effective people ama Mastery....unaweza ukasoma kwa wiki mbili naukavimaliza....lakini cha pili ni kwamba issue sio kusoma tu kama gazeti issue ni kusoma na kujifunza na ikiwezekana kukumbuka.....itakuwa na maana gani kama tukikuuliza kitabu no flani kilisema nini ukawa hukumbuki......Tatu umefocus kwenye vitabu vya aina isiyozidi 4, vitabu vingi unavyosoma ni vya personal development, investment na politics kidogo....vitabu vya mambo mengine kama afya, biographies za watu sijaviona....wakati afya ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya mtu.....ni muhimu kuchanganya vitabu vya aina nyingi ili kupata different perspectives.....kujua field nyingine wanawaza nini n.k
 
Kweli. Desturi ya kusoma vitabu ni nzuri, lakini ikumbukwe kuwa knowledge is NOT power. Effectively applied knowledge with definitive plans and persistent actions IS POWER. Unaweza kusoma vitabu 1000 vya "self improvement" au "investment" ila kama huchukui hatua madhubuti, utabakia hapo ulipo.
Mkuu kusoma ni step moja maamuzi yakufanya kitu ni step nyingine
 
Nimekuelewa sana mkuu
Unadhani altitude peke yake ndiyo inayokufanikisha?
Kuna watu wapo negative kabisa na kitu fulani lakini wanafanya sababu tu kila wakigusa kinawafanikisha. Lakini ukiwa altitude yao juu ya jambo hilo ni very negative ma hataki hata watoto wake au watu wengine wathubutu.
Ukitaka kufanikiwa put your hands in it, play it, expect the worse, vumilia mateso, utaanguka lakini amka.
Achaneni ma mambo ya kuwaambia watu close your eyes and make a wish, Life is not about making wishes but commitments.
Tuwe wakeeli tu katika eneo hili tunawa fail watu wengi sana sababu tunawasimulia mambo magumu kwa namna nyepesi.
 
Back
Top Bottom