Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

Kusoma vitabu kumenibadilisha sana sana...kidg mazingira ya kupata kula yangu yamnifanya niwe nakosa muda!😑 napenda kusoma vitabu sana..km kina group la wasoma vitabu add me pls!
Mkuu mwambie makrita akuadd telegram alikuwa na group hilo la kusoma vitabu viwili kwa wiki
 
vitabu nadhani vimekuathili mkuu.
Sidhani eti miaka mitano yote, uliweza kusoma kila siku na kuandika kila asubuhi. Maana yake hukuwahi hata kuugua.

Mkuu mimi siamini katika Positive thinking (Maana unaweza kuthing Positive kwenye negative). Naamini katika Possibility Thinking
 
Vipi Dr Makirita hata acknowledgement kwa anayekutakia mema na kuona ndiyo yako inakuja kuwa kweli?.
Dr Makirita atakuwa bilionare hilo halina ubishi. Maarifa aliyonayo, uwekezaji anaofanya, na mtizamo wake wa maisha vyote vinavuta kila lililo jema kwake pamoja na utajiri.
 
vitabu nadhani vimekuathili mkuu.
Sidhani eti miaka mitano yote, uliweza kusoma kila siku na kuandika kila asubuhi. Maana yake hukuwahi hata kuugua.

Mkuu mimi siamini katika Positive thinking (Maana unaweza kuthing Positive kwenye negative). Naamini katika Possibility Thinking
Nimekuwa nasoma na kuandika kila siku, hata nikiumwa, hivyo vitu viwili lazima nivifanye. Kwa bahati nzuri sijawahi kupata ugonjwa mkubwa wa kufanya nilazwe hospitali.
Lakini ahadi niliyojiwekea ni hii, kwa siku yoyote ile ambayo nitakula chakula, basi lazima niilishe akili yangu maarifa na lazima niandike kitu hata kama ni kidogo kiasi gani.
Nimekuwa naandika makala fupi za kurasa kila siku tangu tarehe 01/01/2015 na leo nimeandika ukurasa wa 1798, hii ina maana ni siku 1798 ambazo nimeandika kila siku bila ya kuacha hata siku moja.
 
Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Hahahahah,ukute hajasoma hata kimoja.
 
Vipi Dr Makirita hata acknowledgement kwa anayekutakia mema na kuona ndiyo yako inakuja kuwa kweli?.
Asante sana mkuu, nathamini sana mchango wa wale wanaoamini kwenye ndoto zangu kubwa.
Na wengi nimekuwa nao karibu tukisaidiana kila mmoja kufikia ndoto yake, kwa sababu moja ya misingi ninayoiishi ni huu niliojifunza kutoka kwa Zig Zigler anasema "unaweza kupata chochote unachotaka kwenye maisha yako, kama utawasaidia watu wengi zaidi kupata kile wanachotaka."
Hivyo kwenye safari yangu ya ubilionea, naamini nitafikia hilo baada ya kuwasaidia wengi zaidi kuwa mabilionea.
Hivyo nikukaribishe twende pamoja kwenye safari hii.
Nitumie ujumbe kwa wasap namba 0717396253 kama utapenda twende pamoja na nitakupa utaratibu wa kwenda hivyo.
Asante sana.
 
Unadhani altitude peke yake ndiyo inayokufanikisha?
Kuna watu wapo negative kabisa na kitu fulani lakini wanafanya sababu tu kila wakigusa kinawafanikisha. Lakini ukiwa altitude yao juu ya jambo hilo ni very negative ma hataki hata watoto wake au watu wengine wathubutu.
Ukitaka kufanikiwa put your hands in it, play it, expect the worse, vumilia mateso, utaanguka lakini amka.
Achaneni ma mambo ya kuwaambia watu close your eyes and make a wish, Life is not about making wishes but commitments.
Tuwe wakeeli tu katika eneo hili tunawa fail watu wengi sana sababu tunawasimulia mambo magumu kwa namna nyepesi.
Ndyo umeandika nn hiki chief?

Naona unajicontradict we mwenyewe!!!!

Hebu soma tena uozo ulioandika.
 
Kusoma vitabu kumenibadilisha sana sana...kidg mazingira ya kupata kula yangu yamnifanya niwe nakosa muda! napenda kusoma vitabu sana..km kina group la wasoma vitabu add me pls!
Lipo kubwa tu..nenda fb .na kuna tamasha hivi karibuni la vitabu
 
Nimesoma "Richest man in Babilon" nkavutiwa na "Rich Dady and Poor Dady" na baadae "Why we want you to be rich" "Middas touch" nimekisahau jina ila four classes Employee, Self employed, Investors and Business vimenibadili sana kiuchumi kesho inaokana vyema pia kwenye tabia nilikua so mpekee mpekee sana nikapewa kitabu cha the "Power of human mind" kiukweli vimenibadilisha sana japo nimeacha kwasasa nasoma bible tu mara moja moja wanasema kusoma sana vitabu sio vizuri soma kimoja then kiishi.
 
vitabu nadhani vimekuathili mkuu.
Sidhani eti miaka mitano yote, uliweza kusoma kila siku na kuandika kila asubuhi. Maana yake hukuwahi hata kuugua.

Mkuu mimi siamini katika Positive thinking (Maana unaweza kuthing Positive kwenye negative). Naamini katika Possibility Thinking
Mkuu kumbe kuna wakati unatoa fact , nimeshazoea mada zako za utani utani
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom