Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

Sipendi soma vitabu. English literature nilifaulu kwa kusimuliwa tu na mambo yakaenda. Anasoma mwingine afu anasimulia unachukua summary
hii njia imenisaidia sana, na nilijikuta nafaulu zaidi ya aliyenisimlia
 
Mkuu vitabu vyote hivyo siunaweza fungua library yako upowapi nije kuchukua kimoja nikinywe na mimi.
 
Dr Makirita atakuwa bilionare hilo halina ubishi. Maarifa aliyonayo, uwekezaji anaofanya, na mtizamo wake wa maisha vyote vinavuta kila lililo jema kwake pamoja na utajiri.
Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.
Mara ya kwanza nilikua kama wewe.
 
Watu type yako ni wa kukaa nao mbali sana!

Attitude ya negativity kwa kila kitu ni sumu mbaya sana kwenye maisha.
Unadhani altitude peke yake ndiyo inayokufanikisha?
Kuna watu wapo negative kabisa na kitu fulani lakini wanafanya sababu tu kila wakigusa kinawafanikisha. Lakini ukiwa altitude yao juu ya jambo hilo ni very negative ma hataki hata watoto wake au watu wengine wathubutu.
Ukitaka kufanikiwa put your hands in it, play it, expect the worse, vumilia mateso, utaanguka lakini amka.
Achaneni ma mambo ya kuwaambia watu close your eyes and make a wish, Life is not about making wishes but commitments.
Tuwe wakeeli tu katika eneo hili tunawa fail watu wengi sana sababu tunawasimulia mambo magumu kwa namna nyepesi.
 
Unafosi kwamba mtoa mada anamaneno bila matendo nawakati kaeleza mpaka vitendo sasa sijui unataka kuzungumzia nini.

Then hayo unayoyaandika ndio yaleyale kwenye vitabu tu.
 
Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Haha haha hatari sana
 
Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.
Mara ya kwanza nilikua kama wewe.
Hasty Generalization Fallacy, kushindwa wewe haimaanishi kila mtu atashindwa mkuu.
Kubali wewe umeshindwa, lakini usifanye hiyo kuwa sheria ya dunia nzima.
 
Mkuu hongera sana kwa kusoma hivyo vitabu vyote kwa muda mfupi. Naona umepitia na vitabu vya jim rohn ulipata baati ya kusoma kitabu chake cha Cultivating an Unshakable Character ?
Hapana, hicho sijapata nafasi ya kukisoma.
Nitakitafuta na niweke kwenye orodha ya vitabu vya kusoma.
Asante sana.
 
Hasty Generalization Fallacy, kushindwa wewe haimaanishi kila mtu atashindwa mkuu.
Kubali wewe umeshindwa, lakini usifanye hiyo kuwa sheria ya dunia nzima.
Trust me mkuu, nakuona jinsi unavyofanikiwa kuja kuwa motivational speaker mzuri sana. Hata jinsi ulivyo present hata mimi nimekukubali
 
Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Ila si general D, ni GNLD. Hawa ni watata, ni kama pyramid programs ambazo wanaoanza hufaidika na kuwaacha wale wengi wa chini gizani wasijue la kufanya.
 
Ila si general D, ni GNLD. Hawa ni watata, ni kama pyramid programs ambazo wanaoanza hufaidika na kuwaacha wale wengi wa chini gizani wasijue la kufanya.
Shukrani kwa kunirekebisha, maana nimezoea kuwaita hivyo hivyo kwa jinsi nisivyowapenda wanavyowaumiza watu kwa hiari yao waumizwa.
 
Hongera sana nimesoma vitabu 4 vya Robert kiyosaki ,hakika vimenisaidia ilaa kaka sema ukweli kitabu kimoja kwa wiki moja?duuh
 
Niazime nakala ngumu.
Vitabu vya nakala nguvu huwa naviandika na kuvichora ninapokuwa nasoma, ili kuwa rahisi kufanya rejea baadaye. Hivyo huwa siazimi.
Pia huwa nashauri kila mtu awe na maktaba ndogo nyumbani kwake, hata kama ni shelfu moja, nimekuwa nawaambia watu kama una tv, basi pembeni yake hakikisha kuna shelfu ya vitabu, ni njia nzuri ya kujenga utamaduni wa kujisomea.
Kama upo dar nashauri uende HOUSE OF WISDOM BOOKSHOP lipo posta, pale NHC House Mezzanine floor, kuna vitabu vingi na vizuri sana.
Pia ukipita kwa wale wauzaji wa vitabu wanaoweka meza barabarani maeneo ya posta, kariakoo na ubungo, huwa wana vitabu vizuri pia.
Kila la kheri.
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom