Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

Natafuta kazi ya Agronomist (mtalaam wa kilimo

Elimu yangu: Bsc. Horticulture

Uzoefu wa kazi katika kilimo Kwa miaka 3
Rubis Agri Ltd
1. Uzalishaji mahindi ekari 200 sawa na ton300 Kwa mwaka
2. Uzalishaji ndimu ekari 50
3. Uzalishaji migomba(mzuzu) ekari 50
4. Uzalishaji macadamia nuts ekari 60
5.Uzalishaji mboga mboga Kwenye nethouse 4
6.Uzalishaji Miche ya mbogamboga na matunda kwenye vitalu nyumba
7. Kulima, kupulizia dawa, kuweka mbolea, kuslash Kwa kutumia mashine za kilimo
8. Kufunga mifumo ya umwagiliaji mashambani ekari 50
9. Kuanda bajeti ya kilimo kama, mbegu , mbolea na madawa
10. Kuongeza na kutoa maelekezo Kwa wafanyakazi wa shamba zaidi ya 50
11. Kusaidia kupata masoko Kwa ajili ya mazao ya shamba

Kwa yeyote mwenye connection na fursa za nafasi za kazi za mashamba (Agronomist) kwenye makampuni ya kilimo /mashamba binafsi yanayolima kibiashara

Anicheki Kwa namba hii 0743138750
Kwa mawasiliano zaidi

Mkuu msaada tafadhar mahind yangu yamekua na hiyo rangi lakin pia hayarefuki pamoja na kwamba nimeweka mbolea CAN na Urea. Je nifanyaje yaweze kwenda vizur
IMG_20250201_105126_740.jpg
IMG_20250201_105052_258.jpg
 
Mkuu msaada tafadhar mahind yangu yamekua na hiyo rangi lakin pia hayarefuki pamoja na kwamba nimeweka mbolea CAN na Urea. Je nifanyaje yaweze kwenda vizur View attachment 3221802View attachment 3221803
Kwanza pole sana mkuu haya mahindi yana upungufu wa virutubisho vya phosphorus weka mbolea ya DAP haraka sana iwezekanavyo lakini CAN na UREA haziwezi kusaidia kwenye hali hii
 
Acha visingio vya kitoto
Mkuu wala hata siyo visingizio vya kitoto kilimo siyo biashara ya kuchezea labda kama unalima mazao ya kula na familia yako lkn kama unataka kufanya kilimo kama biashara yako ya kutegemea nisikufiche tu inahitaji uwekezaji mkubwa ikiwemo,
1. Ku drill kisima ili upate maji ya uhakika
2. Uwe na mashamba yako maana huwezi kudrill kisima kwenye shamba la mtu
3. Angalau uwe na tractor moja na vifaa vyake kama plough, boom sprayer, spreader ya mbolea,planter
4. Mifumo ya umwagiliaji ya kisasa kwenye mashamba
5. Bajeti ya mbegu bora, madawa, vibarua na vitu vingine muhimu vinavyohitajika shambani
NB: Kiufupi kilimo siyo rahisi kama ww unavyochukulia kama unamtaji wa milion 2-5 bora ufanye biashara nyingine ya bidhaa huenda ukatoboa lkn kilimo utazama ndugu yangu pesa itakwisha kwenye hatua ambazo hutegemei maana utakuwa ndio unaanza mahitaji yatakuwa mengi kuliko mtu ambaye tayari alishaweka sawa mifumo mingine yote ya shamba lake
Kwahiyo kabla hujakomenti fanya upembuzi yakinifu😀
 
Bado una visingizio vya ajabu kabisa. kwa maana yako itakupasa ufanye kazi kwa miaka400 ili upate hizo pesa za kuchimba kisima na kununua mashamba sijui ununue na tracto na vifaa vyake ambavyo kwa ujumla lazima uwe na pesa za kutosha.

Hapohapo uwe unalipwa 700k kwa mwezindo mishahara ya wengi wenu au chini ya hapo.Wasomi wengi mnafeeli kwa sababu hizo hizo ni waoga.

Mimi nalima na nimeanza kulima baada ya kumaliza form 4 tu
shmba nakondi kisima sichimbi tractor sina na faida napatahadi m15.

Mwaka jana nimelima nynya kwa mtaji wa m3 tatu ndo nikapata hela hiyo.Nikuambie mkuu ukiwekeza kwa nguvu kama ulivo ainisha hapo juu ukija kupata anguko hutakaa usahau ndo ninyi mnao kuja kusema kilimo hakina faida.

Mimi nalima na nina pata faida kubwa.Wewe ni muoga unategemea ajira sasa sijaelewa hiyo hela ya kununua vifaa vyote hivyo kwa kifupi tu we ajiriwa kilimo hutakiweza .

Kwanza pole sana mkuu haya mahindi yana upungufu wa virutubisho vya phosphorus weka mbolea ya DAP haraka sana iwezekanavyo lakini CAN na UREA haziwezi kusaidia kwenye hali hii
Kabisa ila hata NPK ni nzr pia.
 
Back
Top Bottom