Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,419
- 2,270
Pathetic....! Kwa hiyo kila ukigoma utakuja na ID mpya hapa JF?Kwema wanajamvi?
Hii ni ID mpya,
Pathetic....! Kwa hiyo kila ukigoma utakuja na ID mpya hapa JF?Kwema wanajamvi?
Hii ni ID mpya,
Hivi bado hamjamstukia huyu Sobhuza? hata lugha yake inaonesha kabisa kuwa huyu si Mtanzania na yupo hapa kutia fitna. Nawashangaa sana ambao bado mnamuunga mkono.
Mimi nnapinga huyu si mwanafunzi wa UDSM na wala hajafukuzwa chuo.
DARUSO hawakuchelewa kama mnavyodai, nimeeleza hapo juu vizuri kwanini maamuzi ya serikali ya wanafunzi yalichelewa kuliko tukio lenyewe...DARUSO kwa upande mwngn mmeboa sana, mmesubiri sana watu wasahau ndo nyie mnaibuka w,isho ndo maana mmekosa mashiko na sapot toka kwa watu. pia seikali yenu imegawanyika sana na mmesababisha wanafunzi wengi zaidi kufukuzwa.
hongera sana na nyie mmeonja utam wa kuvaa kaptura kuuuubwa wakati viuno vyenu vidogo.
:hat:
Jiandae kuwa mtu wa vijiweni. CDM wamekuponza. Nenda kawaone, labda wanaweza hata kukupa kaz ya kuwa mfagizi wa ofisi zao chafu chaf pale Kinondoni!
eti eh?
Ile sio siasa ndugu, ni kudai haki ya wengi inayoporwa na wachache. Kuidai ni wajibu wa yeyote, na sio mtu fulani.
Kusoma kunakuwaje kwa raha kama wengi wenu hawana mikopo, ambayo ndiyo inayowaweka mjini. Yet, haohao ndio walisomeshwa bure na JKN.
Inauma uchungu alooo...
Hana cha uanafunzi huyo, ni mtu ambae katumwa kufanya chokochoko, kila hoja yeye huingia au huanzisha kwa kusudi la kutenganisha na si kujenga, wengine tumesha mstukia ni nani. Msome vizuri utanielewa nnachosema.