Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

Status
Not open for further replies.
Waislam walio wengi wana tabia za kibaguzi na kujiona wao wako sawa zaidi katika mambo ya kiimani,ila si wote wako waelewa! Ivi kweli kama hawa wakristu wakifanya ubaguzi kama wanaofanya hapo MU(Moro) ingekuaje?? Mana wao ndo wana taasisi nyingi za elimu na nyingi zinatoa elimu bila ya upendeleo wa kidini. Watanzania tubadilike mana udini hautujengi! Nawasilisha!
 
Jakaya mwenyewe ndio anaendekeza mambo haya kwani watu wake aliowaweka kwenye strategic positions za kuajiri ikiwemo NSSF are under instructions kuajili waslam as a first priority, wakikosekana ndio wapewe wengine!! We jipe muda na kufuatilia presidential appointments ndio utaamini hili ninaloandika. Huyu mkweree legacy atakayoiacha baada ya kutoka Magogoni ni kuligawa Taifa kwa misingi ya dini.
 

Dah,umenichekesha kweli ingawa sikutakiwa kucheka
 
hili neno waislamu au wakristo siku hizi yako too general

wakristo walokole sio sawa na wakristo angilcan kwa mfano....

waislamu shia au ansar sunna sio sawa na waislamu wengine labda ismailia....

tusihukumu kwa kusema tu waislamu au wakristo

ubaguzi upo wa madhehebu hata kwa dini moja
 
Nakumbuka niliwahi kufanya kazi enzi hizooo na kuishi kota za wafanyakazi wa shirika fulani,,boss mkristo siku ya x-mass na pasaka magari yanabeba famila za kikristo kupeleka kanisani,,ikifika siku za sikukuu za edil-fitri magari anasema hayana mafuta.
Tatizo tz kuna watu wanajiona dini yao ndio dini ya taifa ukipnga tu udiniiiiiii.....kazi kweli kweli
vita itakuja very sooon yangu macho napenda itokee kabla sijafa ili ikiisha kila mtu ataheshimu imani ya mwenzake
 
Mwenye hilo jengo ndiyo mwenye petrol station"big bon" Nenda kaombe kazi pale
Petrol station,ukiwa na jina wanalotaka utapewa kazi.Wote pale wanaoweka mafuta
wamejifunika vichwa.
Faiza fox akienda anapata kazi bila kupingwa

Sio mie nimuajiri. Unanchekesha!
 
walimu na madereva wa shule za mama rwakatare lazima wawe wakristo

na waingie kanisani
 
walimu na madereva wa shule za mama rwakatare lazima wawe wakristo
na waingie kanisani
Sio kweli, mi kuna mwanadada mmoja huwa 'ninamweka sawa' kila nijisikiapo, yeye ni Muislam na anafundisha moja ya Saint Mary's schools
 
Ni upuuuzi! Sasa hivi kuna vyuo vya kidini! Shenzi taipu! Hivi tutafika kweli?
 

Ile dini wana roho mbaya na chafu sana.

Hebu msikilize Allah anavyo toa amri kupitia Koran na Hayati Muham-mad mwanzilishi wa dini ya Islam: Surah 5:51 "Muslims do not make friends with Christians and Jews". Umeona hii chuki kutoka kwa Allah na Mtume Hayati Mwamedi pbuh??!!

Allah said very conspicuously and vivid clear by commanding muhammadans not to make friends with Christians and Jews. Do we have to learn arabic to understand this verse? You might have all these as friends but the Quran is plain in this verse. Hate hate hate astakafulahi hate hate hate astakafulah.

Ndugu yangu Nguli, Mungu anaweza yote and be blessed, katika Jina la Yesu utapata na umepata baraka za Yesu Kristo aliye hai.

Allah anaendelea kusema kupitia koran iliyo jaa upendo wa allah na Hayati Mwamedi pbuh: Koran 9:29 Fight those who believe not in Allah.
 
Sio mie nimuajiri. Unanchekesha!

Nyie muhammadans acheni mask'hara hapa. Msifikiri hii ni jambo ya kuangalia na mzaha. Hiki kizungumkuti siku moja mtajibu hapa hapa duniani na si jehanamu. Wait and see.

It is pathetic and inhumane kwa jinsi ndugu zenu walivyo mfanya mwana jamii NGULI. Shame on you muhammadans.
 

Hivi weye kila kitu kwako ni mask'hara eeh. Lushoto ulienda kufanya nini weye?
 

................. Mpangaji wa ile Convenience Store ( Mini Supermarket ) iliyopo hapo Big Bon, ni Mjaluo na Mkristo !! pia amepangishwa na Muislaam mwingine pale Oilcom, sijui na mafuta kabla hajamuuzia mtu, huwa wanaangalia cheti cha ubatizo ? au ulitaka kufungua Bar/ Butcher ya Kiti Moto( Wagalatia mnanongwa ! )
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…