Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.

Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!

Poor clouds fm.

Weka picha tuwaone!.
 
Achana nao hao wa.seng* tu kama huyo pj naskia ni ubwabwa watu wana twanga mpunga hapo.
 
Na huo ndio ukweli..ukiwatangaza sana unawapa kick hawa ukawa..wakati ni wapuuzi tu!!
 
Good uamuzi.ndicho walichokuwa wanatarget ukawa imekula kwao
 
Poleni sana, hebu fanyenye ka research kadogo mjue waTanzania wanaichukuliaje ukawa? Bila hivyo mtachukia kila mTanzania, ukawa haina mvuto tena.
 
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.

Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!

Poor clouds fm.

Poor you...ambaye hujui hata maana halisi ya ukawa
 
Siyo kila asiye waunga mkono ukawa na upuzi wao ni ccm ..Cloud fm bado nikituo bora cha matangazo ...Ukawa acheni kutapatapa
Hao clouds wanatia shaka kama wana weledi wa taaluma ya habari, hutakiwi kutangaza habari zinazokufurahisha wewe tu, hata habari usiyoipenda nayo ni habari na unatakiwa kuipasha jamii.

Inawezekana hawa clouds ni makanjanja.
 
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.

Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!

Poor clouds fm.
tangu anti virus tushawa delete!
 
Sasa nimekubali kuwa kweli mnaipenda sana Clouds FM ila huwa mnajishaua tu.
 
Wasitangaze ....wamemshindwa lady j dee, watawaweza ukawa?
Sijui kama bado kuna watu wanaosikiliza hiyo radio inayosambaza unafki
 
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.

Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!

Poor clouds fm.

Clouds still existing...??? Are you sure Nimeshaacha kusikiliza tangia mwaka 2000.
 
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.

Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!

Poor clouds fm.

Mambo mengine ya kujitakia. Redio ya ovyo kama ile unaisikiliza ili upate nini? Umeyataka, mi nishaacha kusikiliza kitambo sana.
Ova.
 
ni safi ila hata hapa jf bado umaarufu kibao.hata mimi siwapendi kweli...!
 
hivi kwanza hao clouds wameshajibu mashtaka tcra kwa kukiuka maadili ya utangazaji? maana wafanyakazi wao walipigana" Live" studio kila mwananchi alisikia
kesi ile ilifutwa kwa kukosekana kwa ushahidi, kwani hakuna mwanainchi aliesikia wakivunja maadili mkuu si unaziona hata hizo comments watu huwa hawasikilizi hiyo radio nakushangaa wewe unafaham hata kama walipigana!?
 
Hivi hii radio station bado ipo?kitambo sana tangu 2006 sijasikiliza
 
Back
Top Bottom