Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Ni ------- sn, hawajiamini maana wanalelewa. Na ccm na l.one pale ni mdau. Hivyo tusiwalaumu mbwa(watangazaji) laumu mfugaji wao. Ni radio ya ccm bora hata radio uhuru.
UOTE=samvande2002;10310685]hivi wewe bado unasikilizaga tu hicho kituo cha redio? hicho kituo mbona huwa kina paa kama katwa![/QUOTE]
 
Watu wanajifanya hawasikilizi Clouds wakati kila siku habari za Clouds haziishi humu ndani. Mbona hamsemi hizo radio zingine mnazosikiliza? Ukweli ni kwamba wengi wanasikiliza hiyo Radio na ndiyo maana kila siku habari za Clouds na watangazaji wake zinakuja humu ndani. Kuna radio nyingi sana siku hizi mbona habari zake, nzuri au mbaya haziletwi humu ndani? Unafiki wa kujifanya hamsikilizi wakati mnasikiliza hautatusaidia chochote.
Nimeishafanya utafiti mfupi tu kwa watu wenye magari, kati ya watu 10 wanaosikiliza radio kwenye magari yao angalau 7 wanasikiliza clouds hasa nyakati za asubuhi na jioni. Ubishi hautakusaidia.
 
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.

Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!

Poor clouds fm.

Ndio maana wengine wana kesi mahakamani kwa ushamba wao. Pamoja na kujipendekeza kwa ccm bado maafande wakawakomalia.
 
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI
YA CLOUDS FM. Nimeingiwa na
shaka na watangazaji wa clouds
fm leo katika kipindi cha power
breakfast baada ya kutangaza
kwamba hawatatangaza habari za
UKAWA eti wanawapa umaarufu
jana nimejua hawa jamaa ni ccm
pure! poor clouds fm.

Sasa we mburula ulitaka waendelee kutangaza u.p.umbavu!
 
Maskini PJ na elimu yake anaelekezwa cha kufanya na makanjanja na policy za wenye maslahi na maccm wakina Ruge. Nafikiri haamini anachokifanya bali ni kwa ajili ya mkono uende kinywani. Kibonde anafikiri anaweza akapewa ukuu wa wilaya, sijui kwa elimu gani!! Acheni kuisikiliza hiyo radio, wanatangaza habari za kumpendezesha JK na Rizi.
Unachokisema ni kweli mkuu. Hao sio wazalendo, wanaripoti kinafiki sana kubembeleza kuteuliwa kuwa viongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom