Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Hawahitaji promo kutoka kwao, kwani wao ni walamba viatu wa mafisadi, ila wanaikubali UKAWA kimya kimya.
 
hivi kwanza hao clouds wameshajibu mashtaka tcra kwa kukiuka maadili ya utangazaji? maana wafanyakazi wao walipigana" Live" studio kila mwananchi alisikia
 
Nani asikilize Redio ya watangazaji wahuni wanaopigana studio live
 
Hicho kituo cha mashoga huku kwetu wala hakipo,hakuna mwananchi anaejua kama kuna radio inaitwa c.fm! ........sana.
 
power break fast vipindi vyao ni vya kimbea mbea tu....wako vimbelembele ngoja rais huyu atoke madarakani sijui watamkimbilia nani
 
Safi sana clouds nilikuwa siwasikilizagi naanza sasa kuwa sikiliza

kati ya vituo vya RADIO vyenye watangazaji darasa la SABA B wengi clouds. msiwashangae pale no education kuanzia top mpaka kwa mb..wi..ga
 
Shida ya clouds watangazaji wake wote njaa. Wanahongwa kazi badala ya kutafuta kwa jasho lao.
 
Tune in EA radio ya kijanja na kisasa.Hao niliacha 2008
 
Hivi hujui Kama Clouds Radio ------------ na mmoja Kati ya Watu wanaowania urais kupitia CCM?
Pale Bwana Kusaga amebakiwa na TV tu. Redio Hana chake.
Kwa hiyo usishangae sana kusikia propaganda za CCM zikiongelewa sana.
Ogopa sana wanasiasa wanapoanza kumiliki vyombo vya habari.
Freedom of speech inaweza ikawepo ila there is no guarantee of freedom after speech. Ha ha ha ha
 
Hivi hujui Kama Clouds Radio kwa sasa inamilikiwa na mmoja Kati ya Watu wanaowania urais kupitia CCM?

Pale Bwana Kusaga amebakiwa na TV tu. Redio Hana chake.

Kwa hiyo usishangae sana kusikia propaganda za CCM zikiongelewa sana.

Ogopa sana wanasiasa wanapoanza kumiliki vyombo vya habari.

Freedom of speech inaweza ikawepo ila there is no guarantee of freedom after speech. Ha ha ha ha
 
Safi sana clouds nilikuwa siwasikilizagi naanza sasa kuwa sikiliza

Go back to school.siwasikilizagi kweli baki huko ccm tu jinga.sema huwa siwakilizi sio sikilizagi mtu wa singinda nini.
 
power break fast vipindi vyao ni vya kimbea mbea tu....wako vimbelembele ngoja rais huyu atoke madarakani sijui watamkimbilia nani

ha ha ha ha ha mrangi watahamia kwa JANUZAJ MAROPE
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe n mtu unaependa kuona mabadiliko ya katika jamii yetu lazma uwakubali ukawa.
Nawaunga mkono ukawa hata kama tupo wachache
 
kati ya vituo vya RADIO vyenye watangazaji darasa la SABA B wengi clouds. msiwashangae pale no education kuanzia top mpaka kwa mb..wi..ga

hivi MBWIGA NI MTANGAZAJ????
HAAAAA MHI TASNIA INA HATARI??,NA KI-VALLEY NAE NI MTANGAZAJ????MWE MWE MWEEEE,WACHA NIMSKIZE MKUDE SIMBA WA EFm
 
Si lazima tupate updates za UKAWA kupitia clouds fm tutazipata kupitia stations zingine kwa hilo wamechemka.UKAWA hoyeeeeee.
 
hai si wala pesa za vijana za maendeleo wanapewa na kudanganya watu eti kushindabisha business plan. ni hatarii wapo kwenye mfumo wa CCM
 
Back
Top Bottom