Kisikimpingo
Senior Member
- May 23, 2022
- 104
- 99
John apunguziwe lawama..yeye mwenyewe alipewa masharti awe na huyo, angekataa akose fursa????bado lawama zote kwa john?

Bila kuitaja hiyo hospitali ni majunguRoho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?
Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai.
Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaingia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Huyo unapiga shaba afe yeye atangulie kwanzaRoho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?
Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai.
Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaingia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Kabisa kwa jambo km hili hapaswi kuficha lolote kbsModerator Boqin Diversity naomba hili bandiko liwe dokezo Ili litiliwe mkazo na mamlaka husika. Pia Cuba o cuba ongeza nyama nyama kwenye bandiko hili, kuficha identity ya hospitali hio unakua hujafanya chochote na thread hii itakua kama novel ya UMUGHAKA
Mh kwan ndio huyuhuyuUlilalamika kuhusu walimu kutokufanya kaz...leo .....
John unamsingizia, kafanyaje?bado lawama zote kwa john?
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?
Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai.
Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaingia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Kwahiyo dawa ni kwenda hospitali jioni? Ila wanatakiwa kutoa huduma siku nzima, kila siku, na asiwe mmoja, hapa kuna mushkeli.Mama anaupiga mwingi.
Wana wasiwasi gani wakijua kuwa ikifika saa 10 wanaanza kutibia wagonjwa privately hapo hapo kwenye majengo ya serikali.
Inawezekana kabisa, pengine hiyo saa 4 anatoka kuwaangalia waliolazwa. Ila kuwatetea wakati mwingine ni ngumu!Taja jina la hospital sio jina la mtu/dr
Ila isijekuwa alikuwa amekesha na ndo aloko tuu hapo
Ndiyo mkuuMh kwan ndio huyuhuyu
Mkuu, hiyo kawaida sana kwa hospitali za serikali, wale wenye bima za afya wana unafuu wa kwenda private hospitals. Kiufupi huduma za afya bado ni changamoto sana, ingawa kuna majengo yanayovutia ila huduma zinasikitisha sana.Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?
Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai.
Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaingia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Na kinachokushinda kuitaja hospital na jina lake na idara anayofanyia kazi ni nn?! Tena ukiwa na fake IDs na unakua na uwoga kwny nshu km hii inayohitaji kuwa exposed ili kuongeza uwajibikaji wa watumishi wa umma?!Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?
Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai.
Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaingia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
nimeuliza bado lawama ziende kwake kwa wale waliokuwa wanammwagia lawama?John unamsingizia, kafanyaje?
hakika john asilaumiwe kwa hiloJohn apunguziwe lawama..yeye mwenyewe alipewa masharti awe na huyo, angekataa akose fursa????
Pole alikuhudumia??Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?