Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Hacha Majungu sisi watanzania tunapendani mbaya wetu ni muarabu wa dubei
 
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Hakuna haja ya kusikitika mkuu, ingepaswa uchukue hatua pale pale.. Be practical
 
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Mtamkumbuka Magufuli
 
Pole kwa hilo janga kwani huku msikia wazuri wa Afya akisema swala la ubinafsishaji kwa madaktari mbn uku tunaona Kawaida sasa sikuizi madaktari wako na wagonjwa wao special wenye kua na appointment nao 😎
 
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Ungeitaja na hosp husika humu naamini kuna watu wapo kazini watalifanyia kazi.
 
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Kila siku humu nawashauri suluhisho ni kujiua commit suicide ndo njia pekee ya kuepukana na hizi kero na kadhia.

Watu hawajui tu kifo kilivyo kitamu. You rest forever utakachomiss tu ni kupigamiti.
 
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.

Dhambi
 
Hili ndilo linaloendelea nchi hii. Halafu baadaye tujiulize kwanini hatuendelei kama wenzetu. Wafanyakazi wa serikali ni wavivu sana. Kuna siku nimekwenda Nida yani vile vidada vinavyohusika kupiga picha na kuchukua details muda wa kazi vinakutazama kama haupo tulikuwa watu 5, viko busy vinapiga story kuhusu waume zao kama dakika 40
 
Back
Top Bottom