ππ kwanini lakiniUnamaanisha niwe nakaa nyuma yako ?
Ogopa sana wafanyabiashara maana hakuna mtu anafanya biashara ya hasaraView attachment 3583235View attachment 3583236View attachment 3583237
Nipeni 2.5m bila discount wakuu niwe nimekula hasara ya 1.1m ndani ya mwezi
Pikipiki ni Honda ace 150, cc150
Ipo Mbarali mbeya
Pikipiki ni mpya namba yake ni FRD....
Imetembea jumla kilometa 380
Nzuri Kwa kufanya boda, maeneo yenye Barabara mbovu ,matumizi binafsi, kubeba mizigo mizito n.k
Ulaji wa mafuta lita 1 km 40-49 kutegemea na gia unazopanga
KADI YAKE IPO KWA MAJINA YANGU
NIPIGIE 0789088982
AU BIPU
Nimewaza tu na hayo makebo makubwa mbona balaa...ππ kwanini lakini
Sahihi -Usiandike hali ngumu kwenye tangazo lako la biashara chief,weka bango kama hauuzi kwa shida ili usionewe kwenye bei yako.
min -me jamaa leo kaandika mistari takriban minne πππNimewaza tu na hayo makebo makubwa mbona balaa...
Sawa nunua umuungishe mleta mada, ila hiyo siyo zile za matari matatu ulizozoea...
Sidhani kama watu wote wa Mbeya wamesikia,kuona na kujua kama mkuu anauza chombo yake.Nimewaza tu.No hard feelings,boss!Mmmmh mbeya yote hio hakuna wanunuzi?? Hmm π€
Mimi mgeni humu.Kwani huwa anaandika "sentenso" ngapi kwa wastani?Hapendi kuchoka.min -me jamaa leo kaandika mistari takriban minne πππ
Changamoto za maisha mkuuKwanini unaiuza?
Mkuu nimetangaza kote mkuu ila naona watu uchumi changaMmmmh mbeya yote hio hakuna wanunuzi?? Hmm π€
Mkuu nimetangaza kote mkuu ila naona watu uchumi changamotoView attachment 3583245
I'm in love with that chombo of yours,for real!Chombo ya kutoka Kawasaki,Enduro,Honda and the related "species" of the likes are my favourites!Changamoto za maisha mkuu