Nimeshuhudia uongo!!!

Hahahah shosti hata weye? Mie si mwongo wala si mzinzi yani nauthamin mwil wangu sana kwan najua ni hekalu la roho mtakatifu so kuliko niwape wauchezee bora nikivundike lol
Waongo wote na wazinzi na wale wanaoshiriki kufanikisha uongo na uzinzi hawatauona ufalme wa mbingu. Nakuhurumia sana shosti Ciello
 
hii hatariii, we na shetani mnatoka sare
 
Siwezi gawa mwil wangu hovyo am very much conserved, btw ckulazimish kuamin its ur choice!
mmhh siyo wewe yamekukuta sasa unageuza kuwa ni rafiki yako.... ujasiri huo wa kununua kesi umeanza lini?? bado nasita kuamini
 
Hahahah shosti hata weye? Mie si mwongo wala si mzinzi yani nauthamin mwil wangu sana kwan najua ni hekalu la roho mtakatifu so kuliko niwape wauchezee bora nikivundike lol
Shosti, sijakutuhumu kwamba wewe ni muongo wala mzinzi, maana najua wewe ni mtawa mwenzangu. Dhambi unayobeba hapa ni kushiriki kufanikisha hayo mabaya.
 
sasa nimeelewa kwa nini Erickb52 alinasa huko Mwanza
 
Last edited by a moderator:
Nafahamu hilo na nimelieleza, na nimefanya toba...it was very wrong i know that thats y nimeandika humu ili nipate relief moyoni...thanx anywyz
Shosti, sijakutuhumu kwamba wewe ni muongo wala mzinzi, maana najua wewe ni mtawa mwenzangu. Dhambi unayobeba hapa ni kushiriki kufanikisha hayo mabaya.
 
Shosti, sijakutuhumu kwamba wewe ni muongo wala mzinzi, maana najua wewe ni mtawa mwenzangu. Dhambi unayobeba hapa ni kushiriki kufanikisha hayo mabaya.

Aisee ,sikujua kama nyie ni watawa, kwani mie ni Fr. wa kichinichini.Tutafutane wakati wa "Masifu"
 
Mwenye dhambi m1 akikiri, malaika huwa wanashangilia. Big up Ciello kwa kutambua kosa lako na kukiri.
 
Mambo gani ya hayo YA KURUSHANA STIMUUUU!!!!!!! Mwaga radhi! mwaga radhi! Mwaga radhi! eeeeeh! MIDUME IKAKUIBUKIA SHOWER!!!!!!!!! Nasikia midume ya mwanza hasa yenye hisa kwenye SAMAKI haipendi kudorishiwa KIDUDE, iko radhi INYAKUE BILA RIDHAAA!!!!!!
lara1 mi sikuwezi..huwezi amini kiswahili hapo kimeni-cross....ila nilikuuliza swali hukunijibu. Hivi yule BOSS wako ulishamsamehe au ndo keshakuwa"mwenda zake kaenda"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…