Nimeshuhudia uongo!!!

Sasa ningefanyaje? Nilikataa akanisihi kwa machozi,ila bidada kanipigia cmu kusema jamaa kamwambia yeye c mtoto mdogo wa kudanganywa hivyo,isitoshe jamaa aliniona wakati nachukua rum so amejua hii story tumepika...hatari
 
Last edited by a moderator:
Mtoa Mada hongera kuipagawaisha midume mi4 ukaingia kwa room ukabath ukampojea bishost ukamsindikiza mchumba wake ba wenzake wakakuona tena waelewa halafu ....... wakakuacha ???
picha haijafika THE END labda Episode
 

amejitaidi kuwa chambo ili aweze kumpata samaki, hebu tathmin kama yule jamaa angeamua kumbadilikia ingekuaje?
si ingekua baaaaaaaa!
 
Nilimsindikiza bishosti na si mchumba wake,hao watu sifahamiani nao nimekutana nao hapo hotelin
Mtoa Mada hongera kuipagawaisha midume mi4 ukaingia kwa room ukabath ukampojea bishost ukamsindikiza mchumba wake ba wenzake wakakuona tena waelewa halafu ....... wakakuacha ???
picha haijafika THE END labda Episode
 
Kauli zao ukiwa na ndoo et ubebe kidumu
ina maana ukienda kazini wenzako wana zamu....
 
mtoa mada anaonekana alikuwa too nyegetic wakati anaandika kwa bahati nzuri akafika kibo,akaacha kuandika!
 
Hujasoma kisa chote bali umecomment kwa mazoea, read btw the lines.....do u do that unapogenyeka??
mtoa mada anaonekana alikuwa too nyegetic wakati anaandika kwa bahati nzuri akafika kibo,akaacha kuandika!
 
......hivi mabinti wa siku hizi wakoje? Hutakiwi kukumbushia na vidume vyako miezi 6 kabla ya ndoa na miezi 6 baada ya ndoa.....

Halafu huyo walolala pamoja hoteli angekuwa anampenda sana si angemuoa???????

Aaaarrrggggghhhhhhhhhhhhhhh


....
 
Kweli yani, miye nimepigwa na butwaa, inakuwaje mtu anataraji kufunga ndoa ndani ya mwezi 1 then anacheat...why?
......hivi mabinti wa siku hizi wakoje? Hutakiwi kukumbushia na vidume vyako miezi 6 kabla ya ndoa na miezi 6 baada ya ndoa.....

Halafu huyo walolala pamoja hoteli angekuwa anampenda sana si angemuoa???????

Aaaarrrggggghhhhhhhhhhhhhhh


....
 
Wanawake wanaolewa na wasiowapenda na wanaume tunaoa tusiowapenda sana as vigezo ndo vinapanga ndoa..

Unakuta yule ambae mwanamke anampenda sana hana kazi ya kuelewela, may be elimu ndogo na anatoka familia duni so kwenye kuolewa hapo anasita japokuwa anampenda na mwanaume nae kwenye kuoa anakutana na hali hiyo so cheating haziwez isha hata iweje as ndoa hazipangwi na upendo bali vigezo
 
duh pole yake bidada... ye anajua anamchumba then anacheat town kabisa... kha mwambie aje nimpe darasa ... kamwe hatokamatwa!!!!!
 

Labda tuseme umeshiriki uongo au unaonaje?
 
Kuna uongo mzuri na uongo mbaya............
saa sijui huu unaangukia wapi..............................?
 
Kuna uongo mzuri na uongo mbaya............
saa sijui huu unaangukia wapi..............................?

Huu ni uongo mbaya kwani ni wazi huyo bishosti hamfai hiyo kaka.. Hata wakioana ataendelea kumletea vidumu.. Ciello utubu dhambi na umuelezee ukweli huyo kaka. What comes around goes around..
 
Last edited by a moderator:
Umeamua kuwa "partaker" wa dhambi ya uzinzi ya mtu usiyemfahamu? Mhhhh!
 
Waongo wote na wazinzi na wale wanaoshiriki kufanikisha uongo na uzinzi hawatauona ufalme wa mbingu. Nakuhurumia sana shosti Ciello
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…