Nimeshuhudia shem akisaliti


Huu ubabe
 
Kiungwana kabisa mwambie shemeji yako huna haja yakuogopa maradhi nimengi name mungu hapendi ujinga Huu
 
Mkuu acha tu ndo mara yangu ya kwanza kuomba ushauri lakn ni kama nina ugomvi na baadhi ya watu teh binadam wengne bna

ukiomba ushauri humu jiandae kwa yote.......
 
Labda sister kunavitu hampi so afanyeje? Mpe Wewe k uone kama atachepuka.
 

Kabla ya kuhangaika na mambo ya ndo ya dada yako , hebu jifunze kuandika vizuri basi.
 
Viongozi wa dini wameshindwa utaweza wewe!!! Hata ukimwambia huyo shemeji yako haitosaidia

Kumwambia dada yako ndio kabisaaa utaonekana unamtaka shemeji

Wewe achana na hayo mambo,haya kuhusu hata kidogo.kwanza ulivyo muona kwanini ukajipitisha ili akuone!! Ya Ngoswe mwachie Ngoswe,usijifanye mwema,huo msiba ni wa dada yako na Mungu atamuonyesha kwa wakati wake.
 
kwa mwanaume ni ruksa kutoka nje....ingekuwa ni mke ndie anachepuka ningekuwa na ushauri

Please miss chagga come back, hi kitu imeruhusiwa? Naona umempa like mkuu Mokoyo, sijaelewa kabisa, naomba mwongozo!
 
Nashukuruni sana kwa ushauri hapa nimejifunza meng iliwezekana nikaharibu kabisa
loyda mdogo wangu....

Naomba unisikilize kidogo tu.

Mwanamume ambaye anaheshimu ndoa yake na kujiheshimu, akiamua kuchepuka atatoka kwa siri kubwa hata shetani hatakaa amuone au ajue. Ila ukiona mwanamume ameamua kutoka nje ya ndoa yake na kufanya wazi wazi, basi huyo yuko kwenye level nyingine kabisa. Yaani huyu keshasema kuwa "liwalo na liwe..."....Umeelewa?

Sasa mtu wa namna hiyo utaanzia wapi kuongea naye? Labda kama unataka kibao kihamie kwako.

Na kama ukiamua kumwambia dada yako, unahakika utampa breaking news? Yaani hajui kila kitu anachofanya mume wake?

Ushauri wangu.... Kwa vile na wewe ni mtu wa club, basi utakuwa ni mdau wa hayo mambo au unaelekea huko (partner or potential partner in crime). Basi jikalie kimya usubiri zamu yako ya kunyoa au kunyolewa.

Hii dunia haiko, haijawahi na wala haitakaa iwe fair...si kwa dada yako tu bali kwa kila mtu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Wadau wengi wametoa ushauri kuwa loyda aongee na shemeji yake...

Hivi atamwambia nini??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…