heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,345
- 9,846
Uyo mrembo matata aliekuja mkafunga wote neti ni nani au ndo umemexipirienci mtoa loho live
kufa ni simple mno mkuu usione watu wanapigwa risasi 38 halafu bado wanatoboa ni kiburi tu
Embu elezea ndugu ilikuwajeDah!!..nilishaga wahi kushuhudia kifo cha BABA yangu mzazi.
Sikuamini kama ndo kakata roho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du!,aisee,sadHii kitu nimeshuhudia wiki moja nyuma,
Mawifi wanamsema mwanamke amemuua mumewe!!
Dada kaachwa na watoto watatu mmoja mchanga kabisa
Mke akaondoka na gari ya maiti
Mawifi huku nyuma wakahamisha kila kitu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo ukweli halisiSa9 usiku mpaka 11 alfajiri ndio muda wa kufa wagonjwa mahututi, nazidi kuthibitisha hilo
Write your reply...
Kwani hapa anakusikia.. Mfate inbobo kwa sim yakeImenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.
Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!
Daa!,chief mtu kama huyu ulimwacha akaenda hivi hivi,pole lakini ndo maisha,things happens for reasonImenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.
Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!
mkuu kuna mahali kama ametuchanganya hiviMwanzo nilijua mtoa mada ni demu mwisho naona anajipambanua kama men....
DUNIA KIGEUGEU...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume bhana sijui tunakoseaga wapi,unakuta mtu Ni mwema kabisa kwako ila ewew sasa mambo unayofanya daah Ni shida.....Imenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.
Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!
Nilikuwa kwenye tukio kama hilo face to face na my late dady 30th yrs ago, sikushtuka sababu nilikuwa nimefunzwa jinsi gani mtu anakata roho, nilichofanya ni kumfumba mdomo na macho km bado yako half close.
😂😂😂Mie uandishi wake umenibariki sana sana yaaniMwanzo nilijua mtoa mada ni demu mwisho naona anajipambanua kama men....
DUNIA KIGEUGEU...
Sent using Jamii Forums mobile app
#Kichalu
Nilikuwa namtoa mama yule ningemwacha mule hali ingekuwa tete conditions ya jamaa ilikuwa terrifying