Namsaidiaje mtu anayepatwa na hii hali

Namsaidiaje mtu anayepatwa na hii hali

dadapesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
366
Reaction score
662
Habarini za majukumu

Niende moja moja kwenye mada. Jana asubuhi nilipata habari za msiba, kuna kijana mwenzetu amefariki .

Huyu kaka toka tunamfahamu hatukuwahi kumuona au kusikia anamatatizo yoyote kiafya, iko hivi juzi alishinda vizuri tu hadi kufika usiku , alikula vizuri, piga stori saana hadi tano usiku na wapangaji wenzie kisha kwenda kulala,

Kuna Dada mpenzi wake alikuwa anaish nae Mara moja moja anakuja na kuondoka ,sasa kipindi cha hivi karibun kabla umauti haujamkuta huyu Dada alikuwa nae kama miezi miwil mitatu hivi,( nimemtaja huyu kama mtu wake wa karibu marehem ambaye labda angeweza kumsaidia)

SAA tano waliingia kulala ,ilipofika mida ya saa nane marehemu alianza kukoroma saaana hadi nje kwa majiran kuna baadhi walimsikia, yule mpenz wake baada ya kuona hivo akawa anamuamsha lakini hakuamka, akatoka kuwaamsha majiran wamsaidie ,hali walivoona hawaelew waliwataarifu ndugu wakaja wakampeleka hospitality

Wanafika Hosp wanaambiwa mgonjwa alishafariki, sasa naona hata madaktar hawakuhangaika sana mana tulitaman kujua kilichomuua marehem hatukujua,

Badae tunakuja kusikia kwa ndugu kuwa marehem alisumbuliwa na pumu ndo ugonjwa wake toka akiwa mdogo kuna muda ilimsumbua sumbua

Sasa Mimi nilitaka kujua tu endapo utapatwa na mgonjwa kama huyo utamsaidiaje kwa haraka kama huduma ya kwanza kuokoa maisha yake?

Nawasilisha

Pumzika kwa amani Mario kijana mdogo mpambanaji ,msafi,mpole, tumeumia wenzio
 
Uzinzi kitu kibaya huyo Motoni moja kwa moja
 
Wewe songa mbele tu na maisha yako na uzidi kutafuta hela ukisubiria na wewe siku yako ifike. Usiumize kichwa sana. Mwenzako aliyetangulia ana bahati kwani atapumzika milele na kuepukana na mikimiki, kero, uonevu, madharau na maudhi ya wenye kiburi cha maisha na uzima.
 
Uzinzi kitu kibaya huyo Motoni moja kwa moja
20221011_215733.jpg
 
Poleni mno ila Doctor hakumfanyia toxicology test kuondoa dhana ya kuwekewa sumu?,maneno ya ndugu ndio yakawa ndio hatimisho la kilichomuua marehemu, nchi hii inakatisha tamaa ya kuishi humu,na mtoa hoja hii pole ila haikua siri kumtambua mtu anayeishi na pumu, wewe kwa muda huo uliomfahamu marehemu definitely ungejua ana pumu, ugonjwa huu haujifichi na hauna dawa za kuuponya ila una dawa za ku keep on check, wanazika mtu na ushahidi wake
 
Back
Top Bottom