- Thread starter
- #21
Hapana sijawahi mkuu kuuliza mpaka we ulivyouliza nami ndio nakimbuka
Ok mkuu..Hapana sijawahi mkuu kuuliza mpaka we ulivyouliza nami ndio nakimbuka
sawa sawa mkuuKiroho unakuwa ulishafika ila kimwili siku ile ndio unakuwa umefika,hapo ndio maana akili inakuwa na kumbukumbu ya hilo eneo...
Naona kama tunafanana kabisaa!Hiyo kitu mimi huwa inanitokea kwenye ndoto naota jambo flani linakuja kutokea baada ya muda au miaka kadhaa vile vile kama nilivyoota na matokeo ni yale yale.
Nilishaota nafanya biashara fulani, nikiwa kwenye mazingira ya hiyo biashara nikala kitu flani nikaumwa nikalazwa Hosptal.
Hiyo ndoto niliota nikiwa masomoni baada ya miaka 2 kweli nikaingia kwenye ile biashara mazingira yale yale, akaja mzee fulani mfanyabiashara mwenzangu akaniambia twende tukale, nikasita sana baada ya kuikumbuka hiyo ndoto ila nikajisemea mambo ya ndoto hayawezi kuwa kweli asilimia zote.
Nikaenda kula bwana bwana tumbo likaanza kuchange ghafla nikachukua toyo nikawahi home, hali ikabadilika familia ikanipeleka Hosptal.
Nilishawahi kuota niko kijiji flani nauza bidhaa flani ambayo kamwe kwa mazingira ya kawaida nisingeweza kuiuza, huwezi amini baada ya miaka kadhaa nikiwa kwenye kijiji flani tukaenda kuichukua ile ile bidhaa nilioota maporini, tukiwa tunaanza kuiuza ile bei tuliokubaliana nilivyoitaamka nikakumbuka ndoto nikatabasamu.
Hicho unachokisema kipo na hizo ndoto zinatokea kwenye maisha ya halisi ni zile ndoto unazipuuzia.
Kusema kama nilishakuwa kwenye mazingira nikahisi nilishawahi kuyaishi kwangu hapana, ila mazingira ninayoyaota huwa yanatokea kwenye maisha halisi.
Huu ulimwengu una siri nyingi sana.
Sent using Fly in any Weather.
Maombi ni muhimu kabla ya kulala ili kuzuia zisiwe zinaenda kuzurula,maana zisiporudi kwakweli itakuwa ni hatari sana.Nadhani hii ndio sababu mnaamka asubuhi unakuta mtu amekufa bila hata ya kuumwa,kumbe roho yake ilienda kuzurula ikapotea njia au ikapata ajali au ikapata mchepuko ikamuacha jamaa hana kitu.......Wakati tumelala usiku, roho zetu huzurula na kupuyanga huku na huko. Huwa zinawasiliana na roho nyingine. Hayo ndio matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara kibao tu hali hiyo hunitokea
Sometimes naweza ku-predict kua kuna mtu atakuja na kuongea maneno flani, halafu baada ya muda akaja na kuongea maneno hayohayo
Na kuna consipirancy nyingi kwenye dhana hiyo ambazo watu wamekua wanapachika majibu yao yakufikirika kua ndio sababu
Mkuu nasikia hiyo state kitaalamu inaitwa de javu yan unaona tukio kama uliwahi kuliona kumbe sio.
utaharibu mada duu! punguza maneno mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Maombi ni muhimu kabla ya kulala ili kuzuia zisiwe zinaenda kuzurula,maana zisiporudi kwakweli itakuwa ni hatari sana.Nadhani hii ndio sababu mnaamka asubuhi unakuta mtu amekufa bila hata ya kuumwa,kumbe roho yake ilienda kuzurula ikapotea njia au ikapata ajali au ikapata mchepuko ikamuacha jamaa hana kitu.......
Kabisaa jamani, kwanza nikawaza mbona kama nilishaongea naye hili jambo! Ila baada ya mazungumzo ndo nikakumbuka ilikuwa ndoto!Hahaha na unaikumbuka ndoto baada tukio kuisha. Lakini katikati ya tukio lenyewe unakuwa unakumbuka mbona kama hili tukio linajirudia baadae unakumbuka ilikuwa kwenye ndoto.
Sent using Fly in any Weather.