Nimeshindwa: Kwenu wataalam, hii inaitwaje?

Nimeshindwa: Kwenu wataalam, hii inaitwaje?

Mara kibao tu hali hiyo hunitokea

Sometimes naweza ku-predict kua kuna mtu atakuja na kuongea maneno flani, halafu baada ya muda akaja na kuongea maneno hayohayo

Na kuna consipirancy nyingi kwenye dhana hiyo ambazo watu wamekua wanapachika majibu yao yakufikirika kua ndio sababu
 
Scars, yes!
Mkuu upo sahihi asante kwa addition nyingine,haswa hapo kwenye kupredict mtu ataongea neno flani..au atafanya jambo flani na inakuwa hivyo, tuendelee kusubiri wataalamu wafike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo tena sana.

Wakati mwingine kinawezabkutokea kitu/ au kufika mahali na ukituliza akiki unaona ni kama flashback ya miaka kadhaa nyuma.

Kila mtu anayo inner power na wakati mwingine husaidia kutuongoza. Ukaidi pekee na matendo yetu maovu ndiyo huondoa hii kitu katika roho zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Sisi wataalam kitaalam tu nasema ulishasafiri na kufika mahali hapo kiroho au kinafsi, mwili unafuatia baadae.
Inanitokea sana..it shows ulimwengu wako wa rohoni una nguvu kuliko mwili.
[emoji4]
sawa mkuu, maoni mazuri sana.
Upo vizuri mtaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cash Money Forever, Hakika mkuu,visa vyako vizito mno!
Haswa hapo kwenye
“Hiyo ndoto uliyoota ukiwa masomoni baada ya miaka miwili ukaingia kwenye biashara mazingira yale yale,ukaikumbuka hiyo ndoto”

Kama ulivyomalizia mstari wa mwisho ni kweli mkuu hii dunia ina mambo ya siri sana hatuyajui

Kwa sababu kuna mambo yanatokea yenye hisia nzito kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom