fasta? mnhhh...
kuna mtu alikuwa anaitwa apewe mambo lol

Habari wa jf
Nina mpenzi wangu wa kike namuamin na sijawah kuhis kuwa ananicheat coz npo nae muda mrefu sijaona dalili za kuwa na zaidi yangu.
Sasa majuzi akiwa safarini baada kumtumia msg ya kumjulia hali asubuh hatuku chat tena gafla mida ya jioni napata msg kutoka kwake inasema hivi"baby fasta,npo serious katika hili.NAKUPENDA"
Nimemuuliza hio msg ulikuwa unamtumia nani?anasema ni yangu,nikamuuliza tena una maanisha nin anakaa kimya
Naombeni ushauri kama wewe ndo umekutana na hiyo hali kwanza ungefikiria nin?Na ungefanya maamuzi gan?
Acha roho nyepesi wewe, wenzako tushawahi ambukizwa gono na binti ambaye hajaguswa kabisaaaaaaaaaa

pole ndugu yangu...hapo yupo mwenzio coz hata sms yenyewe inaonesha ilikuwa haiji kwako...!!Habari wa jf