Japo niwe romantic kidogo

Namshakende

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
394
928
Ndugu zangu Wana Jf Habari zenu!

Mimi ni kijana wa kiume, napitia changamoto mbalimbali za kuhusiana na mahusiano yangu ya mapenzi.

Nimekuwa kwenye mahusiano kadha wa kadha, lakini yote nimekuwa nikipokea malalamiko yanayo fanana;

Nimekuwa mtu wa majibu mafupi sana, messages na jibu pale nikijisikia kujibu, simu ndo sitaki kabisaa kupokea, kubembeleza siwezi kabisaa na nipo tayari kuvunjaa mahusiano muda wowote !

Mbaya zaidi, mwanamke nampenda / tamani pale nikimuona, akiondoka /nikiondoka na poteza interest naye kabisa.

Nimejaribu kubadilika japo niwe romantic kidogo, lakini nimeshindwa !

Naombeni msaada wa nini nifanye, natamani niwe na positive attitudes kwenye mahusiano.
 
Inawezekana ni suala la kisaikolojia, wakati wa ukuaji wako ulilelewa na wazazi au walezi waliokuwa wanakunyanyasa kihisia...

Inawezekana pia ukawa na roho ya kujitenga, nafsi yako haiwezi fungamana na watu...
 
Kwenye swala la kisaikolojia na kubaliana na wewe, lakini sio kunyanyaswa na walezi/ wazazi.

Nilianza mahusiano mapema kidogo wakati nipo secondary, kuna mwanamke nilimpenda sana, alanisaliti na ticha wa hesabu.

Since then nimekuwa ni mtu wa ajabu ajabu tu!

Just to cut the long story short sina feeling za kupenda kabisa toka tukio lile litokee.
 
Hiyo hali hata mimi ninayo kimtindo. Harafu jf imeshiriki pakubwa kuniongezea hiyo hali. Ukijumrisha na maneno ya tafuta hela ndo kabisaa najua mwanamke anahitaji pesa tu. Mengine atajiset mwenyewe. Huwa sijuagi kukaa na mpenzi kistori tu. Nirahisi kukaa na mtu nisiyemjua kistori tu. Sinaga ujasi..... Ngoja niishie hapa siwezi jieleza kuliko mwenye uzi wake
 
Ndugu zangu Wana Jf Habari zenu!

Mimi ni kijana wa kiume, napitia changamoto mbalimbali za kuhusiana na mahusiano yangu ya mapenzi.

Nimekuwa kwenye mahusiano kadha wa kadha, lakini yote nimekuwa nikipokea malalamiko yanayo fanana;

Nimekuwa mtu wa majibu mafupi sana, messages na jibu pale nikijisikia kujibu, simu ndo sitaki kabisaa kupokea, kubembeleza siwezi kabisaa na nipo tayari kuvunjaa mahusiano muda wowote !

Mbaya zaidi, mwanamke nampenda / tamani pale nikimuona, akiondoka /nikiondoka na poteza interest naye kabisa.

Nimejaribu kubadilika japo niwe romantic kidogo, lakini nimeshindwa !

Naombeni msaada wa nini nifanye, natamani niwe na positive attitudes kwenye mahusiano.
Wewe ni mimi kabisa. Mm nawwza mtaman mwanamke nikajikuta kama nampenda kabisa, naweza hata mwambia nakupenda. Ila sasa kuna kashetani huwa kanakujaga tu naanza kujiuliza, hivi huyu so huenda ananuka ki samaki, si nae anajamba kama mm tu ushuzi unanuka, pengine ananuka mdomo. Yaan nikisha waza hivyo tu kwisha, hata interest nae nakosa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom