Nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja

pole.... mapenzi magumu sana na yanaumiza na kuleta mawazo kw ujumla hapo kuna kitu nyuma ya pazia...
 
Daaa ameshuka muheza kula kichwa chake ili safari isonge maisha ya mapenzi tungeyasusia wengi iwapo hamu na nyege zisingekuwepo miilini mwetu.
 
Habari wa jf
Nina mpenzi wangu wa kike namuamin na sijawah kuhis kuwa ananicheat coz npo nae muda mrefu sijaona dalili za kuwa na zaidi yangu.
Sasa majuzi akiwa safarini baada kumtumia msg ya kumjulia hali asubuh hatuku chat tena gafla mida ya jioni napata msg kutoka kwake inasema hivi"baby fasta,npo serious katika hili.NAKUPENDA"
Nimemuuliza hio msg ulikuwa unamtumia nani?anasema ni yangu,nikamuuliza tena una maanisha nin anakaa kimya
Naombeni ushauri kama wewe ndo umekutana na hiyo hali kwanza ungefikiria nin?Na ungefanya maamuzi gan?

Acha roho nyepesi wewe, wenzako tushawahi ambukizwa gono na binti ambaye hajaguswa kabisaaaaaaaaaa
 
Habari wa jf
Nina mpenzi wangu wa kike namuamin na sijawah kuhis kuwa ananicheat coz npo nae muda mrefu sijaona dalili za kuwa na zaidi yangu.
Sasa majuzi akiwa safarini baada kumtumia msg ya kumjulia hali asubuh hatuku chat tena gafla mida ya jioni napata msg kutoka kwake inasema hivi"baby fasta,npo serious katika hili.NAKUPENDA"
Nimemuuliza hio msg ulikuwa unamtumia nani?anasema ni yangu,nikamuuliza tena una maanisha nin anakaa kimya
Naombeni ushauri kama wewe ndo umekutana na hiyo hali kwanza ungefikiria nin?Na ungefanya maamuzi gan?

Kijana umenikumbusha mbaaaali yaani,nilitumiwa sms ambayo ilikuwa nje ya topic alafu nikalazimishwa kukubali kwamba inanihusu palikuwa,si pakawaida kidogo.
 
hii hua inatokea jama hata mimi nilishawah kukosea msg badala ya kumtumia mwingine nikamsendia mpenzi wangu...inatokana na kua umemzoea sana mpnz wako hasa ukiandika msg ya mapenz unajisahau wakati wa kusend..huyo dada anadate na mtu mwingine zaidi ako kama mimi enzi zile ilikua zangu kukosea kusend msg namchanganya flani na flani...bc inakua tafraaan
 
Habari wa jf
Nina mpenzi wangu wa kike namuamin na sijawah kuhis kuwa ananicheat coz npo nae muda mrefu sijaona dalili za kuwa na zaidi yangu.
Sasa majuzi akiwa safarini baada kumtumia msg ya kumjulia hali asubuh hatuku chat tena gafla mida ya jioni napata msg kutoka kwake inasema hivi"baby fasta,npo serious katika hili.NAKUPENDA"
Nimemuuliza hio msg ulikuwa unamtumia nani?anasema ni yangu,nikamuuliza tena una maanisha nin anakaa kimya
Naombeni ushauri kama wewe ndo umekutana na hiyo hali kwanza ungefikiria nin?Na ungefanya maamuzi gan?
pole ndugu yangu...hapo yupo mwenzio coz hata sms yenyewe inaonesha ilikuwa haiji kwako...!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom