Nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja

Nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja

Hiyo sms haikuwa yako, akirudi safari muulize tena na akwambie hiyo fasta alikuwa anamaanisha nini na aliposema "nipo serious katika hili" muulize ni jambo gani hilo?...
 
fasta? mnhhh...
kuna mtu alikuwa anaitwa apewe mambo lol



Alikuwa anamuita jamaa aende kupata cha jioni na kumwachia pesa za saloon kabla wewe hujarudi nyumbani. Pole lakini, ndiyo bongo hii. Hata mimi nilipokuwa narudi Bongo watu walikuwa wananiambia nijichunge na mademu wetu na haikuchukua muda kwani nilikuwa naona kweupeeeee.
 
mkuu umetoka usingizin nin?Pole
Pole ninawakanya hamtaki kusikia, umeona ushauri wa wengi upo negative! Ukiendekeza ushauri wa MMU hutakaa uwe na gf au uoe maana hutakiwi kumchunguza bata anakula nini.
 
Hayo mambo ni balaa tena hawa wanao jifanya hko mwenyewe ndo wezi wa kutupwa
 
lazima kuna siri ktk hiyo sms fanya uchunguzi

Uchunguzi upi sasa hapo, mjini kuna usemi "kuchapiwa ni siri ya ndani", angojee kupewa sababu za kulia lia, mkuu, either ujitoe kwenye Chain au uendelee kuwepo kwenye hiyo foleni.
 
Ukiona manyoya ujue keishaliwa huyo....
 
aaaah! Ila furah hata upo kwenye akili yake, furah pia umeonyeshwa uschokijua...
 
kama jina lako ni "Festo" akikosea kwenye kuandka si inakuwa "Fasta" jaman. Usiumie tena, hlo ndio jibu
 
Hamna...maana kasema baby fasta ni......katika maandishi haionyeshi kama kuna mtu anapewa mambo.Mahusiano yana mambo....duh....haaaa..eti baby fasta

umeonaa ehh?
upoo? umefichwa wapi?
 
Kabla sijatoa ushauri,nataka kujua unatoka ukoo ule wanaojipiga risasi?
 
Kijani na nyeupe zote rangi,
umesema hujawahi kuhisi kama anakucheat sasa sio kuhisi tuu umejua kuwa anakucheat:
Halafu suala la cheating halina lebo usoni useme utajua bidada alikuwa anafanya men trafficking vizuri hukujua tu.
 
Back
Top Bottom