Nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja


Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
16,252
Likes
15,426
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
16,252 15,426 280
Pole ninawakanya hamtaki kusikia, umeona ushauri wa wengi upo negative! Ukiendekeza ushauri wa MMU hutakaa uwe na gf au uoe maana hutakiwi kumchunguza bata anakula nini.
hata mimi nmeshangaa ushauri wa wengi!yule wangu angekua anaingia huku wallah ningekua nna jina jingine sa hivi..
Manake mimi kwa masihara!naweza nikamtumiaa sms wakati tupo miles apart"apo apo ulipo simama nmeshakuona swtii love you"...sasa sijui nyie jamaa wa humu mngechukua uamuz gani!
 
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
2,760
Likes
686
Points
280
Age
32
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
2,760 686 280
Mapenzi ni hatari kuliko hata Ukimwi...
kwa anayeenda msikitini aswali sana kwa anayekwenda church hali kadhalika asali sana kusudi Mola ukajalie Mke/mume stahili yako,otherwise Mambo ya Mushi na Munisi yatazidi kusumbua sana!
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,070
Likes
20
Points
135
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,070 20 135
Narudia kusema! Jf usipokuwa na akili yako hata moja! Unaweza shinda umenuna siku nzima tena ukaomba ruhusa kazini ukashinda kwako ukilia! Haahahahahh
 

Forum statistics

Threads 1,273,028
Members 490,246
Posts 30,468,180