Nimeshindwa kujizuia jamani

Nimeshindwa kujizuia jamani

Shikamoon wakubwa zangu

Unajua kuna namna ukipita, au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta, huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi.

Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri. So kuna kitu nakuta nakikosa, mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza, mbaya zaidi hata mtu wangu hajawahi nipigia simu.

Tungekuwa wanawake tunatongoza, naona leo ningetafuta lakini, si taratibu zetu.
Ila hapanaaaaa, kuwasha si kuwasha viungo vimekaza, kazi zitanishinda leo.

Ngoja nitafute kitu cha kuniweka busy

hapana kaka sijashindwa ila natafta namna ya kumuingia si umemuona alivyo wa moto😥 huwezi kwenda kichwa kichwa😅
win_one wewe huna baya unaweza kuwa rafiki na msiri wangu ,na uko very bright,mwandiko wako,pamoja na kupangilia maneno nimejua hilo Mungu wa mbinguni akubariki.

Wengine ni hawa nawakubali madada zangu

Labella
cocastic
 
Kwenye ucheshi na ujasiri yupo vizuri ila apo kwenye urembo, bado ujanishawishi

Hivi tangu lini nyie wadada mkaanza kusifiana
Mimi mbona km umenyooka nakupa maua yako. Ila km vumbi jingi wala sijichoshi..!! 😹

Kwa Merry ni mzuri bana sema wewe una kijiba cha roho..!!

Em weka pic yako tukuone na wewe km unamzidi Merry..!! 😹
 
Jirani niunganishe na huyu Marry Diana naona inaonekana mnapatana sana
win-one kazi imemshinda,kaniacha kwenye mataa.
Sasa Jirani wewe si uko abroad lakini?
Merry yupo bongo au nimpakie kwenye Emirates aje huko huko? 😹😹

Tena Merry hapendi pesa km sisi mabinti wa mataifa.. Merry km jina lake mama wa Yesu mpole, mzuri na nyash ya kuanzia maisha anayo ushindwe wewe..!! 😹
 
Marry hataweza maisha ya huku,kisha zowea asubuhi apige umbea na majirani.

😀😀
 
Umbea atakua anaingia zoom au club house kuzogoa atatukuta kule wambea wenzie..

Hapo kitakachomtesa labda miguu ya kuku si unajua miguu ya kuku na kachori na kipilipili cha ndimu Ulaya hakuna..!! 😹
 
win_one wewe huna baya unaweza kuwa rafiki na msiri wangu ,na uko very bright,mwandiko wako,pamoja na kupangilia maneno nimejua hilo Mungu wa mbinguni akubariki.

Wengine ni hawa nawakubali madada zangu

Labella
cocastic
Nahisi kitu akipo sawa haiwezekani uzi uwende hewani isiwepo ata like ya Seran
 
Huyo uliyemtaja ni nani hapa jamiiforum,
Ni admin,au ana msaada wowote,au ana hisa hapa jf au tuseme ukianzisha Uzi hautembei bila yeye.

Mkuu hakuna wa muhimu kuliko wengine ni sawa na Mimi nikifa Leo maisha yataendelea tu Kwa wengine
 
Marry Diana hujambo?
Vipi ulifanikisha jambo lako?

Nauliza kwa nia njema tu,
Usinifokee naumwa sikio.
 
Huyo uliyemtaja ni nani hapa jamiiforum,
Ni admin,au ana msaada wowote,au ana hisa hapa jf au tuseme ukianzisha Uzi hautembei bila yeye.

Mkuu hakuna wa muhimu kuliko wengine ni sawa na Mimi nikifa Leo maisha yataendelea tu Kwa wengine
Bibie unaonekana ni mkavu 😃
 
Huyo uliyemtaja ni nani hapa jamiiforum,
Ni admin,au ana msaada wowote,au ana hisa hapa jf au tuseme ukianzisha Uzi hautembei bila yeye.

Mkuu hakuna wa muhimu kuliko wengine ni sawa na Mimi nikifa Leo maisha yataendelea tu Kwa wengine
Umetisha sana mamaake,🥰,umeweka chumvi kwenye kidonda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom