Nimeshawishi watu 7 kumchagua Lowassa. Wewe Je?

Nimeshawishi watu 7 kumchagua Lowassa. Wewe Je?

Mimi Facebook Nina marafiki 4500 wote nimewashawishi wamchague lowasa na nitaendelea kuwahamasisha ukaw hoyee
 
1. Mama yangu
2.Dada yangu mmoja
3.Binamu zangu wawili
4.Shemeji zangu wawili
5.Muuza duka Jirani

Haikuwa kazi nyepesi.

Hapo kwenye RED ndio hasaa penyewe. uzuri ww mwenyewe umekubali haikuwa kazi rahisi na ni kweli LOWAS hauziki, tena ni ngumu sana kumshawishi mtu na akili zake timamu amchague LOWASA. ushauri wa bure CHAGUA Magufuli kwa maendeleo endelevu ya nchi yetu acha kutumika na fisadi LOWASA
 
hakuna kazi ngumu kama kumwombea kura mtu wa ccm ni kama kubeba gunia la bangi na kupitanalo kituo cha polisi.
 
Hizo ndio tunaita hearsay, hakuna ushahidi wa hili, hata mimi naweza anzisha uzi nikasema nimeshawashawishi wenzangu 200 kumpigia kura magufuli, mwisho wa siku ni kujifurahisha tu, unaruhusiwa, hongera kwa kuanzisha thread JF tukaichangia.
 
Simbilisi
 
Kwa hoja ipi ulitumia kuwashawishi ,labda kw a wale wasiojua maovu ya lowasa ndo unaweza kuwashawishi .mtu wa list of shame utamnadi vpi
 
1. Mama yangu
2.Dada yangu mmoja
3.Binamu zangu wawili
4.Shemeji zangu wawili
5.Muuza duka Jirani

Haikuwa kazi nyepesi.

Mkuu kama wewe si muongo, basi hao uliowataja hapo ni watu wa interior sana!

Kwa hali ya sasa huhitaji nguvu nyingi kiasi hicho!!
 
Mkuu leo nimewashawishi watu sita na wamekubaliana nami kuwa mambo yote ni Ukawa.
 
Saba?? watu tuna kijiji tayari WASICHAGUE UKAWA na wameridhia na kuelew madhara, na wao wamepata watu kadhaa tena wa kujiunga na timu ya HATUCHAGUI FISADI, wee unaongea mambo ya mtu saba???!!
 
Mkuu leo nimewashawishi watu sita na wamekubaliana nami kuwa mambo yote ni Ukawa.

Hii ndo kazi tunapashwa kuifanya sasa hivi! kuondoa ccm siyo mchezo ni kufa na kupona!
Mimi nafanya hii kazi popote nilipo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom