Nimeshangaa hii Mahari, sikuitegemea

Tanga hii unaijua wewe ya jamhuri ya muungano wa tz na leo nakwambia ndo naenda huko mi napajua na watu wake asilimia kubwa nawajua na tabia zao za kidigo mamwinyi
 
Ww unaongelea iyo juz nimemwoza dogo kwa elfu 60000 tu
 
Big up Dada. Familia zingine mahari ndiyo mlango wa kutokea kwenye lindi la umaskini.
 
Umepigwa wewe pesa yote hiyo unajifariji tu wanawake wenyewe feki kwao wanajuwa punde tu atajiblock bora wakupe.
 
HONGERA mkuu wangu


Mana kwamba cku hzi wameondoaaa VAT kwenye mahari co??!
 
Hayo mahari ni halali yake, ukilinganisha na hali ya uchumi
 
Weka picha ya uyo binti ili tufanye tathimini kama anastahili iyo mahali asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…